Masoud Kipanya - Mpiganaji

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Aisee binafsi kwa muda mrefu nimekuwa nikizipenda cartoon za masoud wa Kipanya na pia nilimpenda sana wakati akiwa clouds fm kama mpiganaji. Wanajamvi mnamuonaje kupitia cartoon huyu jamaa si mpiganaji? hakuwahi kuchakachuliwa toka akiwa power breakfast na kikatuni chake hakijawahi kuchakachuliwa au kama mna data tofauti nijuzeni.
 
soma katuni yake ya tar 17 January 2011 katika gazeti la mwamnchi afu sema tena
 
Kp leo
 
Attachments

  • kpleo.jpg
    kpleo.jpg
    19.3 KB · Views: 369
Du mod futa hii thread Pukudu, aisee nimeliona hapa ofisini. mbona watu wenye historia nzuri wanachakachuliwa. kumbe ni mpuuzi ebu mod futa haraka sana watu watanicheka.
 
alichora miili (maiti) nyingi zimerundikwakwa pamoja ka mlima afu kuna kibao kinaelekea juu kimeandikwa umaarufu then kuna mtu ana mavazi ya cdm na kaonyesha alama ya cdm ndo anapanda kwa kasi hyo means kwamba cdm anatumia mauaji kupata umaarufu jambo ambalo n propaganda ya ccm na sisi tulioko arusha tunajua full picha from jana hata mimi nikadoubt kipanya though nlikuwa nahisi ni mwanaharakati ni hayo tu
 
Du mod futa hii thread Pukudu, aisee nimeliona hapa ofisini. mbona watu wenye historia nzuri wanachakachuliwa. kumbe ni mpuuzi ebu mod futa haraka sana watu watanicheka.

Hapo kwenye RED inaonekana wewe ndio mpuuzi sasa, maana hata uweleweki unataka nini. kazi ipo.
 
alichora miili (maiti) nyingi zimerundikwakwa pamoja ka mlima afu kuna kibao kinaelekea juu kimeandikwa umaarufu then kuna mtu ana mavazi ya cdm na kaonyesha alama ya cdm ndo anapanda kwa kasi hyo means kwamba cdm anatumia mauaji kupata umaarufu jambo ambalo n propaganda ya ccm na sisi tulioko arusha tunajua full picha from jana hata mimi nikadoubt kipanya though nlikuwa nahisi ni mwanaharakati ni hayo tu

Masoud ni mwanasanaa na sanaa yake haitakiwi iwakilishe upande mmoja au awe na mawazo sawa yenye kufungamana na upande mmoja. Kuna katuni zake nyingi za kuikera serikali. Mfano wakati wa mkapa inasemekana PM Sumaye alikuwa hapendi anavyochorwa especial masikio na kulikuwa na mkakati wa kuzuia kuwachora wakubwa. Masoud alimchora Sumaye anasoma gazeti la Amerika ndani yake kumechorwa katuni ya Clinton (wakati ule clinton) alikuwa Rais wa US, Sumaye kwenye katuni ile akisema kumbe hata clinton anachorwa katuni!
 
Nini kazi ya sanaaa? ile cartoon ya tar 17 kama jamaa alivyonijuza na nilivyoiona ni sanaaaa? si uchonganishi ule na kurudisha nyuma move ya mapambano?
 
Nini kazi ya sanaaa? ile cartoon ya tar 17 kama jamaa alivyonijuza na nilivyoiona ni sanaaaa? si uchonganishi ule na kurudisha nyuma move ya mapambano?

Elewa kila mmoja yupo huru kifikra wakati wewe unaitafsiri hivyo wengine wanaitafsiri vizuri mfano mwenye upeo mpana ataona kilichopo kwenye ile katuni ni cha ukweli how? kuna wazungu walikuwa hawaijui chadema sasa wameijua, kuna watu hapa hapa TZ walikuwa hawajui nini maana ya katiba baada ya kuripotiwa mauwaji wamejishughulisha kujua kulikoni "pengine" wakaona madai ya cdm yana maana wakahama vyama vyao wakahamia cdm. Kwahiyo " Usifikirie watu wote ni sawa,kwani kuna watu wenye tabia tofauti kuliko aina za rangi"
 
Hivi jamani mtu akiwa na maoni tofauti tu basi kachakachuliwa, sio mwanamapinduzi nk. This is wrong!!
Waliomsikia Prof Shivji kwenye kongamano la katiba chuo kikuu juzi pia alisema kuwa hata kifo cha mtu mmoja ni gharama kubwa kulipa kwa mageuzi. aliwataka watu wafanye harakati za amani ili kuleta mageuzi na mapinduzi yanayotakiwa katika siasa na uchumi wa Tanzania. Does this make him amechakachuliwa? Ni suala la mtu anavyothamini uhai wa binadamu na kuchukia umwagaji damu na confrontation isiyo na sababu.

alichora miili (maiti) nyingi zimerundikwakwa pamoja ka mlima afu kuna kibao kinaelekea juu kimeandikwa umaarufu then kuna mtu ana mavazi ya cdm na kaonyesha alama ya cdm ndo anapanda kwa kasi hyo means kwamba cdm anatumia mauaji kupata umaarufu jambo ambalo n propaganda ya ccm na sisi tulioko arusha tunajua full picha from jana hata mimi nikadoubt kipanya though nlikuwa nahisi ni mwanaharakati ni hayo tu
 
Nadhani kuna haja ya kufahamu nani aliwauwa wale watu. Baada ya hapo utapata maana ya katuni yenyewe.

Binafsi nadhani hao waliouwa walidhani wataishusha cdm, kumbe wanawapandisha juu zaidi.
 
Katuni ya jana,Nilvyo ielewa na ni mjuavyo jamaa.Wale watu waliorundikwa kama mlima wameufa,na chadema wanapitajuu yao.
Hii ni kwamba kuu wawa kwa watu wale kutokana na harakati za CDM kuikomboa inchi...Si kwamba CDM kitadharaulika bali ndio kwanza umarufu unazidi kuongezeka.Kwani wananchi wanasoma matukio ya mauaji ya navyotokea kwa sababu ya CCM ikitumia askari kuzima roho za watakatifu.
 
Masoud ni mpiganaji.tusimchukie bure.napenda cartoons zake zina ujumbe wa kiharakati. Ni asilimia ndogo tu anayopotoka,but 98% is good!
 
Masudi mwana harakati wa kweli na ameshachora katuni nyingi sana za kuikejeli CCM lakini watu hamkusema neno leo chadema kuchorwa mara moja tu mnasema masudi kachakachuliwa. Inawezekana hata hiyo katuni hamjaielewa vizuri. Anyway mkuki kwa nguruwe.............
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom