Masoud kipanya asimulia jinsi alivyotimuliwa kazi cloudz fm

Luther3

Member
Nov 9, 2011
41
7
AKIONGEA KWENYE KIPINDI KINACHOÖNESHWA NA EATV NA SALAMA JABIL KWENYE KIPINDI CHAKE CHA MKASI.MASOD ANASEMA LICHA YA KUFANYA KAZ KWA MIAKA 9 HUKU AKILAZMIKA KUAMKA MAPEMA ALFAJIRI BADALA YA KWENDA MSIKTIN ALIKWENDA KWENYE KIPINDI HUKU MASILAHI YAKIWA DUNI AKAJAFUKUZWA KAZI KWA SIKU MOJA TENA HUKU KOSA LIKIWA NI LA MAFUNDI MITAMBO.AKIELEZEA KWA MASIKTIKO ANASEMA ALIFUKUZWA KAZI KWA KOSA LISILO LAKE TENA KWA Siku moja!
 
Maelezo yako yana utata mkubwa sana unamaanisha nini kusema alifukuzwa kwa kosa la mafundi mitambo bila kueleza kosa lenyewe?????

Kama huna data si lazima kupost tread iliyojaa upupu kwenye jukwaa la Great thinkers.

Unabahati nimekujibunsidhani kama kuna mtu atajibu huu upupu wako

Shame on Uuuuuuuu.
 
Matope mbona unatumia lugha kali sana. Ni kweli amesikithswa na jinsi alivyofukuzwa kazi clouds wakati kimsingi ksa halikuwa na kwake. Alikuwa nahojiwa channel 5 na SALAMA katika kipindi cha mikasi. Umepata hiyo!
 
Matope mbona lugha kali hivyo? Are you real great thinker? Aliyoeleza Luther3 ni sahihi.
 
Maelezo yako yana utata mkubwa sana unamaanisha nini kusema alifukuzwa kwa kosa la mafundi mitambo bila kueleza kosa lenyewe?????

Kama huna data si lazima kupost tread iliyojaa upupu kwenye jukwaa la Great thinkers.

Unabahati nimekujibunsidhani kama kuna mtu atajibu huu upupu wako

Shame on Uuuuuuuu.

Issue ilivyotokea walienda kufanya kipindi na Balozi wa US ofisini kwake,.
wakati wanafanya kipindi Mic zilikuwa zinazingua kwa hiyf kipindi hakikufanyika fresh,.
Kwa kuwa tatizo kama hilo lilishatokea mara kadhaa ikawa imewa pain wakaona waonyeshe kukwazwa kwao kwa kutoenda kazini..
wakakubaliana yeye, Fina Mango na G. Hando kesho yake wasiende kwenye kipindi..
Cha ajabu kesho yake Hando akawasaliti akaenda, wao wakaambiwa waandike barua ya kujieleza, Wakaandika issue ilivyokuwa lakini baada ya ka siku nne wakafukuzwa
Mbaya zaidi bila hata ya kupewa warning letter na ukizingatia kipindi hicho show yao ndo ilikuwa inaingiza sana ela kuliko show zote pale Clouds
 
Maelezo yako yana utata mkubwa sana unamaanisha nini kusema alifukuzwa kwa kosa la mafundi mitambo bila kueleza kosa lenyewe?????

Kama huna data si lazima kupost tread iliyojaa upupu kwenye jukwaa la Great thinkers.

Unabahati nimekujibunsidhani kama kuna mtu atajibu huu upupu wako

Shame on Uuuuuuuu.

matope yako kwenye visigino au mpaka ubongoni? sasa kama yeye ame quote alichosema kipanya hizo sababu atatoa wapi kama kipanya hakubainisha vizuri!? na wala si yeye aliekuwa akimhoji!
 
Umepigwa kibuti nini? Mbona mihasira yako unaileta hapa JF? Kama una stress kayumbe viroba kuliko kuchafua thread bure.
 
matope yako kwenye visigino au mpaka ubongoni? sasa kama yeye ame quote alichosema kipanya hizo sababu atatoa wapi kama kipanya hakubainisha vizuri!? na wala si yeye aliekuwa akimhoji!

yani ww ndo mjinga kbsa hebu SOMA VZR
 
matope yako kwenye visigino au mpaka ubongoni? sasa kama yeye ame quote alichosema kipanya hizo sababu atatoa wapi kama kipanya hakubainisha vizuri!? na wala si yeye aliekuwa akimhoji!

we muokota mabati soma kila thread c kukurupuka kama unaenda aja kichakani.YEYE ameshafafanua in details.usirudie tena we kazi kukimbilia text box bila kusoma wengine wamechangia nini!
 
Maelezo yako yana utata mkubwa sana unamaanisha nini kusema alifukuzwa kwa kosa la mafundi mitambo bila kueleza kosa lenyewe?????

Kama huna data si lazima kupost tread iliyojaa upupu kwenye jukwaa la Great thinkers.

Unabahati nimekujibunsidhani kama kuna mtu atajibu huu upupu wako

Shame on Uuuuuuuu.

mbona mna tabia za kushushua wenzenu kila mara? Ungeweza kumweleza kwa ustaarabu badala ya kujibu kwa ukali. Sioni haja kabisa ya kua so harsh.
 
Kipanya ni Jasiri sana na very inteligent huyu jamaa atafika mbali sana.
Kwa maneno yake mwenyewe
"1. Alifukuzwa kazi bila kupewa warnin
2. Ilimuuma sana
3. Wale vijana wa show za mchana ni wajinga-wapumbavu wananigana sana na hawataki kufikiri".
 
masudi ana kipaji huwezi mlinganisha na wale vilaza wengine waliobaki cloudz. Hata ukifuatilia radio yao siku hizi mekaakimajungu zaidi ...
 
Back
Top Bottom