Maskini Wacko Jacko!

Bladerunner

Member
Dec 19, 2008
93
3
Wakuu sijui hii ni dalili ya mwisho kwa wacko au bado ana "nine lives??"

MICHAEL JACKSON is battling a genetic disease that has left him half blind and needing a lung transplant, it was claimed last night.
The superstar, 50 - seen in a wheelchair earlier this year - is said to be so frail he can barely speak.

Jacko's secret was revealed by his biographer Ian Halperin, who declared: "He needs a lung transplant, but may be too weak to go through with it. He also has emphysema and chronic gastrointestinal bleeding, which his doctors have had a lot of trouble stopping.

Stricken ... frail Jacko

"It's the bleeding that's the most problematic part. It could kill him."

Halperin, an award-winning investigative journalist, said Jacko was stricken with an inherited condition called A1AD - alpha-1 anti-trypsin deficiency. Sufferers lack a protein which protects the lungs.

Halperin, a Canadian who has written for respected Rolling Stone magazine, said: "He can barely speak. The vision in his left eye is 95 per cent gone.
For years Michael has been working with his doctors to make sure it doesn't progress.

"He has been on many medications that have stabilised him."

Jacko's brother JERMAINE confirmed: "He's not doing so well right now. This isn't a good time."

Skint Jacko, who was cleared of child abuse three years ago, is being forced to flog off treasures from his Neverland ranch - which he has now abandoned.

And a woman calling herself Billie Jean Jackson - who claims she is the star's wife - is suing him for £700,000.

She insists she is the mother of his youngest child Prince Michael II and is demanding joint custody

source:The Sun 22nd dec 2008.
 
Truely, this is the count down for Mike. However, I wish him a quick recovery. I was once his fan during the eighties.
 
sio vizuri kuombea watu mabaya wakati kama huu, lakini to my mawazo huyu jamaa asingehangaika na kujibadilisha badilisha kila kitu mpaka dini recently,angekua na life bomba zaidi kuliko alivyo kuja ishia...i think even yeye mwenyewe ana regret some of his decisions!

as a human Being i wish him a quick recovery
 
ila man this guy has been thru alot!!but does he still have any lives left??we just witnessed OJ going down the drain after his nine lives ended...dont know lets see how it ends..wish him well.
 
sio vizuri kuombea watu mabaya wakati kama huu, lakini to my mawazo huyu jamaa asingehangaika na kujibadilisha badilisha kila kitu mpaka dini recently,angekua na life bomba zaidi kuliko alivyo kuja ishia...i think even yeye mwenyewe ana regret some of his decisions!

as a human Being i wish him a quick recovery
...Kweli Mtaalam, Jamaa nadhani pesa ilimchanganya akili kwa kweli kwa pesa aliyokuwa nayo angekuwa mtu wa maisha ya kawaida nina uhakika angepeta sana, lakini kwa hali ilivyo sasa ni majuto tu...Pole zake!!!
 
kama mnatoa comments zenu kutokana na experience ni sawa, lakini kama mnatoa kufuatana na story hiyo hapo juu, you are wrong kwani inaonekana source sio lifestyle bali GENETIC disease!
Anyway, Mungu amsaidie..
 
Hayo ndio matatizo ya kubadilisha maumbile tofauti na alivyoumbwa na Mwenyezi Mungu.
Hizo ndio side effect za chemicals alizotumia kujikoboa na plastic surgery alizofanya aonekane kama whiteman..Sasa itakuwaje ndio labda star wetu yuko mbioni kututoka.

FUNDISHO KWA JAMII FORUMS:Tuachane na chemicals hizi za kujirembua kuepukayaliyompata POP STAR wetu.
Tumuombee aweze kupona maana imebakia kudra za Mwenyezi Mungu tu.
 
Yikes!!!!!!!

0_62_jacko_nu320.jpg
 
Yeahh Ab Titchaz,The Whacko has much to tell us.I was one of his fans about 20 years ago and the guy could really spin the tunes and the walks!!
His life style however was/is problematic. Its a big problem when one hits the sky riding high in them dollars.I doubt if the Whacko has any formal schooling.Remeber when he used to live in an oxygen tent?
The guy defies a logical life and that has much to with money he earned very early on in life. He also changed his biological body to a "muzungu" with a nose pointing job and all.
Please somebody tell us the The Whacko Jacko life story.
 
kama mnatoa comments zenu kutokana na experience ni sawa, lakini kama mnatoa kufuatana na story hiyo hapo juu, you are wrong kwani inaonekana source sio lifestyle bali GENETIC disease!
Anyway, Mungu amsaidie..

Hata kufuatana na story hapo inawezekana wako right kwani genetic disease siyo lazima iwe ni congenital hata lifestyle pia inachangia.Mutagens ambazo zinasababisha genetic disorders zinaweza kuwa ni acquired physical/chemical agents.
 
Pole sana Wacko Jacko. Mwenyezi Mungu ana miujiza yake. Kwa dua zetu na maombi yako kwa Mwenyezi Mungu, unaweza kusimama tena kiafya. Insha Allah.
 
Pole Wacko Jacko.
makemikali si mazuri kwenye miili yetu mara nyingi tu. mbaya zaidi sisi wenyewe (hasa wateja) hatujui mengi kuhusu hayo makemiko yenyewe.
na ulipokuwa unawaambia unataka kurekebisha sura, mashavu na sura sidhani kama walikuwa wanakuambia na side effects zake.
ulipuuzia?
au walikuambia kwanamna ya kushawishi biashara ifanyike?
 
Sina roho mbaya ni mtu mzuri sana.Jamani naomba mniruhusu niseme hili nitakalo sema.Kwa wale wanaompenda Michael, hawatafurahi lakini ndio ukweli.Shetani hana kitu cha bure.Duniani atakupa kila kitu,lakini mwishoni ataitaka roho yake.Sasa shetani anataka roho ya Michael, amemtumikia vya kutosha.
 
Ukitaka kumuelewa Michael Jackson muulize Diana Ross. Tatizo kubwa alilokuwa nalo Wacko Jacko ni upweke wa ndani. Nakumbuka aliwahi kusema ni Diana Ross tu aliyekuwa anamuelewa na kumpenda kwa dhati. Hata uwe na pesa kiasi gani ukiwa na upweke wa ndani maisha yanakosa ladha na kujiamini. Watu weusi wengi tumekumbwa na tatizo hili hasa kutokana na historia ya kubaguliwa, kudhalilishwa na kukandamizwa. Pole bingwa wa muziki wa kujirusha duniani. Historia ya maisha yako itakapoandikwa kikamilifu itatusaidia kupambana na hili gonjwa la msongo wa mawazo na upweke wa moyo. Afrika walilie wanao wanaotangatanga na kukosa amani rohoni!
 
Sio mfano wa kuigwa na jamii. adhabu ni hapa hapa duniani.
Pamoja na umaarufu wake huyu bwana alikuwa mchafu.
 
Ukitaka kumuelewa Michael Jackson muulize Diana Ross. Tatizo kubwa alilokuwa nalo Wacko Jacko ni upweke wa ndani. Nakumbuka aliwahi kusema ni Diana Ross tu aliyekuwa anamuelewa na kumpenda kwa dhati. Hata uwe na pesa kiasi gani ukiwa na upweke wa ndani maisha yanakosa ladha na kujiamini. Watu weusi wengi tumekumbwa na tatizo hili hasa kutokana na historia ya kubaguliwa, kudhalilishwa na kukandamizwa. Pole bingwa wa muziki wa kujirusha duniani. Historia ya maisha yako itakapoandikwa kikamilifu itatusaidia kupambana na hili gonjwa la msongo wa mawazo na upweke wa moyo. Afrika walilie wanao wanaotangatanga na kukosa amani rohoni!

Heshima yako mkuu.Naomba ufafanue unaposema upweke wa ndani una maana gani?Manake kiswahili kigumu ndugu yangu labda na mimi nitaelimika ukinifafanulia vizuri.
 
Sina roho mbaya ni mtu mzuri sana.Jamani naomba mniruhusu niseme hili nitakalo sema.Kwa wale wanaompenda Michael, hawatafurahi lakini ndio ukweli.Shetani hana kitu cha bure.Duniani atakupa kila kitu,lakini mwishoni ataitaka roho yake.Sasa shetani anataka roho ya Michael, amemtumikia vya kutosha.

Ni akina nani hao ambao roho zao zinabaki milele hapa duniani?
 
Wacko Jacko katoa statement dakika chache zilizopita na amedai kuwa habari hizi ni unfounded na uzushi mtupu kwani yeye mwenyewe anatarajiwa kuanza ziara yake ya dunia wakati wowote.
 
Heshima yako mkuu.Naomba ufafanue unaposema upweke wa ndani una maana gani?Manake kiswahili kigumu ndugu yangu labda na mimi nitaelimika ukinifafanulia vizuri.

Mkuu heshima kwako pia. Kwa kiingereza wanauiita huo upweke wa ndani 'inner insecurity". Ni hali ya kujiona utupu ndani ya moyo. Unajisikia kama vile kuna ombwe (vacuum) linalohitaji kuzibwa ili upate furaha maishani. Wengine hujaribu kuliziba ombwe hilo kwa kutafuta umaarufu au kujipendezesha ili wakubalike. Wapo ambao hujaribu kuliziba kwa pombe, madawa,ngono na kadhalika. Lakini mwisho wa siku hujisikia wapweke zaidi. Hii ndio hali iliyokuwa inamkabili Wacko Jacko na masupastaa wengi tu. Hebu msikie Michael Jackson anavyolalama hapa kwenye moja ya nyimbo zake:

But they told me a man must be strong and walk when not able BUT I am only human! (Lakini waliniambia mwanaume shurti awe jasiri mwenye nguvu na aendelee kutembea na kusonga mbele tu hata kama hajiwezi ILA mimi ni binadamu tu!)
 
Back
Top Bottom