Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

Huna haja ya kukata tamaa,wa kwako yupo anakusubiri na huwezi kukutana naye mpaka wakati mungu aliokupangien ufike,usiangalie binadamu wanasema nn juu yako mwombe mungu akukutanishe na atakayekupa furaha ya ndoa na sio karaha,umri sio ishu kbs, na hao wanaume wakikujua tu uko desperati kuolewa wata take advantage na watakuchezea na kukuacha unalia,zidisha maombi ikiwezekana na kufunga na siku zote mjaribu mungu kwa kumtolea uone namna atakavyokujibu!toa hofu subiri wakati wa mungu.
 
kuna kipindi nilikua nafunga
nakuzama kwenye maombi sana kwenye swala la sadaka nimetoa sadaka mno hadi imefikia stage nasemwa na watu eti anatoa sadaka ila hafanikiwi hadi mimi binafsi nilikua najishangaa nilikua nasema hata watu wanahaki ya kusema maana chochote nikimwomba mungu huwa ananipa sijui kwanini hili limekua gumu.
 
Mungu hawi influenced na age mazingira wala maasikitiko ya mtu anafanya kila kitu kwa wakati wake ukimlazimisha atakupa kituko utaona ni bora usingeolewa mambo hayo yapo sana wkt huu wanaume wana nini? mwe
 
Tulia mpendwa, usimpangie MUNGU, usiende ibadani bacause you want him to do something specific for you, nenda sali, omba funga only kwasababu unapaswa kumuomba MUNGU, ukishamwekea MUNGU condition na yeye anajua kuwa akishakupatia MUME hutarudi tena kwake,nakuomba sana, muombe MUNGU katika hali yako ya udhaifu naye atakusikia haja ya moyo wako achana na sala za kujipendekeza kwa MUNGU. Kuna mstari unasema kuwa....hatupati yale tunayoyaomba kwasababu twaomba ili tupate kutimiza tamaa zetu....Kwa mfano sasa unasema; hio siku na mimi nikiwa na mume wakina fulani watanikoma, au nikiwa na kazi lazima vibinti vinikome, katika hali kama hii hatuwezi kujibiwa maonbi yetu. Imba leo pamoja na mimi nyimbo hizi, tafakari maneno haya, yaweke moyoni mwako. kisha subiri MUNGU akutimizie haja ya moyo wako.

ONE DAY AT A TIME SWEET JESUS

I'm only human; I'm just a man/woman
Help me believe in what I could be
And all that I am
Show me the stairway I have to climb
Lord for my sake, help me to take
One day at a time

One day at a time sweet Jesus
That's all I'm askin' of you
Just give me the strength
To do every day what I have to do
Yesterday's gone sweet Jesus
And tomorrow may never be mine
Lord, help me today, show me the way
One day at a time

Do you remember when you walked among men
Well Jesus you know
If you're lookin' below, it's worse now than then
Pushin' and shovin' and crowdin' my mind
So for my sake, teach me to take
One day at a time

One day at a time sweet Jesus
That's all I'm askin' of you
Just give me the strength
To do every day what I have to do
Yesterday's gone sweet Jesus
And tomorrow may never be mine
Lord, help me today, show me the way
One day at a time

YOU RAISE ME UP

When I am down and, oh my soul, so weary;
When troubles come and my heart burdened be;
Then, I am still and wait here in the silence,
Until you come and sit awhile with me.

You raise me up, so I can stand on mountains;
You raise me up, to walk on stormy seas;
I am strong, when I am on your shoulders;
You raise me up: To more than I can be.

There is no life - no life without its hunger;
Each restless heart beats so imperfectly;
But when you come and I am filled with wonder,
Sometimes, I think I glimpse eternity.

Zisome hizi lyrics taratiiibu kwa kumaanisha kisha amini ujumbe huu ni wako waweza kuzitafuta kwa Youtube ukapata na sauti yake pia

Thanks ushauri wako umenijenga sana.
Barikiwa sana mpendwa
 
cheki aina ya maisha yako na tafsiri yake kwa watu wengine,
  • socialization
  • ulevi, mihadarati
  • tabia; dharau, kiburi, mgomvi nk
  • historia yako
  • aina ya watu unaowataka
badili yale unayojua si mazuri katika jamii au ni kikwazo kwa mwanamke anayefaa kuwa mke au kuolewa
 
Niko nafanya kazi kuna wakati hili swala lilinichanganya hadi nikaona bora niache kazi kwanza kwasababu wenzangu waliolewa nikabaki pekeyangu maswali yakawa mengi kwanini huolewi kwanini huolewi sio mabosi sio wafanyakazi sio wateja kumbe mwenzao najisikia vibaya naumia
mwishowe nikaona bora niache kazi ili nipunguze frustration ofisi ilikua mjini nakutana na watu kibao
ila wakuniambia dada nataka kukuoa ndio hakuna
haiwezekani tuliite janga la kitaifa na wakati mi kila siku natafuta kupitia love coonect lkn hajajitokeza
Halafu dada umri wako bado sana na jinsi ulivyo na haraka tayari kuna tatizo umelitengeneza lkn haulioni,wanaume hawapendi kuulizwa eti utanioa,ahapo huwa tunakuwa na maswali mengi kichwani na tunapokosa majibu basi tunaamua kuacha,TULIA SANA
 
Bado una mda endelea kumwomba Mungu kwa Imani,miaka 32 sio mingi utaolewa na utapata watoto hakuna linalomshinda Mungu.
 
Dada umenkumbusha wimbo mmoja wa dr remmy na kale ka wimbo ka tankat almas...kwa umri wa 32 mbona bado sana! Yule bib wa ufaransa mbona kaolewa akiwa above 70, we subiri tu!

Ndo matatizo ya watu wasiojua Juu ya Elimu ya Uzazi we ukiwemo.. Unajua ki2 kinachoitwa Menopause halafu kuna kitu kingine Kinaitwa Genetic Disorder(Mongolion). Mwanamke anakoma kuzalisha mayai ya kike anapofikia umri wa miaka 45-50,ambapo hawezi kubeba mimba,na hata ikitokea akabeba,Mtoto anaweza akawa na Mental illness/Mongolion.. Sasa huyu anamiaka 32 siyo mbaya ila awe na subira,lakn kuwa makini Mana unawez panga uwe na watoto 3 au zaid,.lakn ukaishia kuwa na Mmoja kulingan na umri unavyozd kwend,.
 
Wajameni wapendwa wa mmu nisaidieni kimawazo mie mwenzenu nimechanganyikiwa sasa.

Tatizo langu ni kwamba nimemuomba mungu kwa muda mrefu nahitaji kuolewa bila mafanikio wadogo zangu
wote wameolewa marafiki zangu wakaribu wote najisikia vibaya sana najiona sina maisha sina furaha ya ma
isha mimi.

Navyojua mimi kila mwanadamu anahaki ya kuoa/kulewa ili awe na familia sasa mimi maisha gani haya nayoishi raha ya maisha nikuona uko na watoto wako na mume wako kwakweli kuna utamu wake kuliko kuishi kwa wazazi mtu mzima sivutiwi na maisha ya kuishi pekeyangu wala sitamani tamaa yangu nikuwa na familia, kiukweli umri wangu umeenda sana mwezi ujao naanza mwaka wa 32 sasa najiuliza sijui nizae bila kuolewa? Japokuwa naona hali hiyo itanitesa baadae.

Sina lakufanya nalia kila kukicha najiona sina thamani wenzangu wana watoto mimi sina hata wa dawa basi nimechanganyikiwa nasikia uchungu mimi.

Nisaidieni nipeni moyo nifanyeje nimeshaomba mungu saana bila mafanikio.

Pole mdogo wangu, inaonekana umekata tamaa sana lakini kaa ukijua mchumba mwema anatoka kwa mungu vilevile tizama vigezo vyako pengine umeviweka juu sana, afu wanaume wengi tunaogopa majukumu. Hata kama umechelewa lakini huwezi kuolewa na yeyote ukifanya hivyo hutokuwa na furaha katika ndoa na hivyo haitakuwa na maana inakuwa bora ukawa peke yako tu, kuna mtaalam mmoja alisema hivi:
A happy marriage is a new beginning of life, a new starting-point for happiness and usefulness.
- A. P. Stanley
 
Ndo matatizo ya watu wasiojua Juu ya Elimu ya Uzazi we ukiwemo.. Unajua ki2 kinachoitwa Menopause halafu kuna kitu kingine Kinaitwa Genetic Disorder(Mongolion). Mwanamke anakoma kuzalisha mayai ya kike anapofikia umri wa miaka 45-50,ambapo hawezi kubeba mimba,na hata ikitokea akabeba,Mtoto anaweza akawa na Mental illness/Mongolion.. Sasa huyu anamiaka 32 siyo mbaya ila awe na subira,lakn kuwa makini Mana unawez panga uwe na watoto 3 au zaid,.lakn ukaishia kuwa na Mmoja kulingan na umri unavyozd kwend,.
Nashukuru umeielewa presha yangu, nyuma sikuwa na presha wala nini sema naona umri unakimbia itakuja
fika nahitaji watoto nisiwapate nami napenda niwe na mtoto zaidi ya mmoja basi nachanganyikiwa
 
pole bidada ukweli upekwe unaumiza sana hasa kwahiyo age yako huo ni umri ambao unatamani sana kuwa na majukumu ya maana kama watoto nk. Lakini kama uko mwenyewe hata ndugu hawakuheshimu tena thamani yako inakuwa ndogo
sana kwenye jamii hata akiwa mwanaume lazima mtu awe na familia ili apate hadhi kwenye jamii nakuyafurahia la sivyo mhh utakua unalia kila siku.

Mie nawasiwasi umerogwa ila usiende kwa waganga utaongeza matatizo.
 
Nashukuru umeielewa presha yangu, nyuma sikuwa na presha wala nini sema naona umri unakimbia itakuja
fika nahitaji watoto nisiwapate nami napenda niwe na mtoto zaidi ya mmoja basi nachanganyikiwa

Unatafuta watoto au ndoa? Kama ni swala la watoto zaa watoto wako wawili, wanaume wa kukuzalisha ni wengi ni kuchagua tu, rangi, urefu, IQ etc!

Kama ni ndoa mradi ndoa nazo zipo tu, usiwe mvivu kwenye love connect!

Lkn kama mapenzi ya dhati, hayatafutwi na huyo better half wako anaweza akaja hata ukiwa in ur late 40s! Na hata akikuta na hao watoto wako 2! N believe me u r never lonely ukiwa na mtoto!

So ushauri wangu; zaa at least mtoto mmoja wakati bado una nguvu na mpaka anamaliza chuo bado utakuwa na nguvu wewe kama wewe wa kumsupport!
 
Nafikiri ni busara kama ukijiangalia wewe mwenyewe na zaidi the way unvyoji-position ukiwa na hao wenzi wako ambao hawajaonyesha interest za kukuoa. Inawezekana kuna tabia unazozionyesha kwao au pengine namna ya maongez1 ambayo huwafanya wahisi kuwa huenda ukawa siyo mke mwema kwao.
Jaribu kureview tabia yako, mwenendo, maongezi, mavazi, uhusiano wako na watu wengine etc. lakini nikupe moyo kwamba kwa umri huo, wewe bado kabisa, usikate tamaa.
Katika kuyafanya hayo, pia endelea kumuomba Mungu na kusubiri siyo kujiachia hivyo kwa wanaume kwa sababu ya kutaka kuolewa mwishowe utaonekana malaya ha hautaolewa kamwe.
Kila la kheri, na endelea kuvuta subira ipo siko mambo yatakunyookea.
 
may be kwanza unge display picha yako may be tungekuambia unashida gani kama wewe umejiona huna shida. coz sie ndiyo tunaoa
 
Kwanza nakupa pole mdada.nna rafiki yangu anatatizo km lako.kila mvulana aliekuwa anamuapproach.alikuwa anachek mfuko wake.anasema kwao maskni nae hatak mtu maskn.umri umeenda sasa.rafiki zake sote tumeolewa na tuna watoto.yeye yupo analilia ndoa sasa.cha kujifunza bora uolewe na umpendae.pesa mtatafuta mkiwa pamoja.pesa ni matokeo. wasichana wengi huwa wanachagua watu wa kuwaoa.wanataka mtu awe na nyumba na gari.na hela juu.matokeo yake wanachezewa na kuachwa.
 
Wajameni wapendwa wa mmu nisaidieni kimawazo mie mwenzenu nimechanganyikiwa sasa.

Tatizo langu ni kwamba nimemuomba mungu kwa muda mrefu nahitaji kuolewa bila mafanikio wadogo zangu
wote wameolewa marafiki zangu wakaribu wote najisikia vibaya sana najiona sina maisha sina furaha ya ma
isha mimi.

Navyojua mimi kila mwanadamu anahaki ya kuoa/kulewa ili awe na familia sasa mimi maisha gani haya nayoishi raha ya maisha nikuona uko na watoto wako na mume wako kwakweli kuna utamu wake kuliko kuishi kwa wazazi mtu mzima sivutiwi na maisha ya kuishi pekeyangu wala sitamani tamaa yangu nikuwa na familia, kiukweli umri wangu umeenda sana mwezi ujao naanza mwaka wa 32 sasa najiuliza sijui nizae bila kuolewa? Japokuwa naona hali hiyo itanitesa baadae.

Sina lakufanya nalia kila kukicha najiona sina thamani wenzangu wana watoto mimi sina hata wa dawa basi nimechanganyikiwa nasikia uchungu mimi.

Nisaidieni nipeni moyo nifanyeje nimeshaomba mungu saana bila mafanikio.

Nadhani hiyo miaka uliyonayo ndio muafaka kabisa kuolewa,ni dini gani ww ingawa sio ditaminanti lkn wengine wangependa kijua.
 
Back
Top Bottom