Maskini Sophia wangu... Sasa najutia!

ha ha ha, umenichekesha hadi
machozi ya nini, yasije kuwa ya chemba.

kwi kwi kwi kwi.....Husn uko wapi unishikilie mbavu zangu?
Teh teh teh teh jamani jamani mpaka machozi yanandondoka,uuuuuuuwwwwiiii mbavu zangu jamani!
 
niko hapa serena napata cocktail kabla ya kwenda sea cliff karambezi nina miadi na deputy gavana wa benki kuu.Nataka nilale mapema maana alfajiri nachukua swiissair nina kikao na sapplya wangu zurich mchana.Karibu serena Husn.

hehehe! Halafu kale kavitz uliko niahidi mbona hakafiki. Na kiwanja nishapata nataka unishushie kagorofa. We kula gud tym, ahadi ni deni.
 
hehehe! Halafu kale kavitz uliko niahidi mbona hakafiki. Na kiwanja nishapata nataka unishushie kagorofa. We kula gud tym, ahadi ni deni.
mwache basi J halafu tuongee vizuri.
Shhhhhhhh ukishasoma hii post ui delete jamaa asije akaiona.
 
mwache basi J halafu tuongee vizuri.
Shhhhhhhh ukishasoma hii post ui delete jamaa asije akaiona.

kwa j nimepeleka proposal la harrier, hapa napima upepo naangalia na jua linachomoza kutokea wapi. Lol
 
Halaf ghana si ndio wanalima cocoa? dah nazani huu ni wakati mwafaka kwa serikali kumtumia bishanga kuingiza cocoa nchini
hivi wewe na madigrii yako yote LLB(udsm),LLM(harvard),Doctor of Philosophy (london school of economics),her majesty counsel QC,kweli kabisa Konnie anakuingiza choo cha kike nawe unakubali mzee mzima wa Lincoln?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom