Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Du Mzee Mwanakijiji nimefuatilia Gereza la Isanga ambako huyu mama alipitia hapo, hawafahamu alipo huenda aliachiliwa tayari.

Na mm nauliza kwa sasa yupo wapi? ya Asha Mkwizu na yenyewe kali tupeni full Story
Na huyu KUPAZA aliyemuua dada yake MWIVAHO KUPAZA kwa kumbaka hadi mimba walipojaribu kuitoa akafariki na akamchinja na kumchuna halafu akamtupa katika mto huko USA.

Je, watu wa Tanga wana habari gani za huyu mtuhumiwa aliyesomea Seminary Morogoro na kuoa mzungu.

Nimeyakumbuka magazeti yetu ya zamani Mfanyakazi la kila Jumamosi lililomponza marehemu Katabalo je? leo kuna waandishi wa namna yake? au kabaki Kubenea tu
 
heshima kwenu wakubwa wangu ktk jf. kuna jamaa yagu aliwahi nisimulia kisa cha mwanamke mmoja simba ulanga na mwenzie mohammed toroha kuwa ndio watu walionzisha wizi wa mapesa katika mabenki hapa nchini.

inasemekana wote walio husika walikamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria. je? nikweli kwamba walihukumiwa miaka mingapi? kama kuna yeyote anae ujua mkasa huu ningependa atujuze.ni hayo tu wakubwa...
 
Katafute kwenye law reports maana kesi ilikuwa na hatua mbalimbali za usikilizaji.
 
heshima kwenu wakubwa wangu ktk jf. kuna jamaa yagu aliwahi nisimulia kisa cha mwanamke mmoja simba ulanga na mwenzie mohammed toroha kuwa ndio watu walionzisha wizi wa mapesa katika mabenki hapa nchini.inasemekana wote walio husika walikamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria. je? nikweli kwamba walihukumiwa miaka mingapi? kama kuna yeyote anae ujua mkasa huu ningependa atujuze.ni hayo tu wakubwa...

Dada/Kaka Slave
hii mada ilishajadiliwa humu mwaka huu na information nyingi sana zilitolewa, mwanzisha thread alikuwa ni Mwanakijiji, tenda kwenye post zake utaiona na utafaidika na mengi
 
Dada/Kaka Slave
hii mada ilishajadiliwa humu mwaka huu na information nyingi sana zilitolewa, mwanzisha thread alikuwa ni Mwanakijiji, tenda kwenye post zake utaiona na utafaidika na mengi

mkuu niite kaka.kwanza kabla sijachungulia hiyo link,napenda nikushukuru kwa kunitafutia hiyo link.
 
alikuwa anaitwa malkia wa wizi wa kalamu alifungwa miaka 28 nikumbukavyo mimi labda wana jf wanikumbushe kati ya mwaka 1987 au1988 kama sikosei enzi hizo nilikuwa young sanaduh umenikumbusha mbali sana mkuu
 
mkuu unajua miaka ya 95 nilimuona gerezani mohamed toroha nilikuwa nasikia tu toroha toroha.huyo jamaa japo alikuwa gerezani laki chakula pamoja na sehemu aliyokuwa analala haikuwa tofauti na mtu aliyekuwa uraiani.
 
Mode kama itafaa unaweza kui delete hii post. Bwana kituko amenisaidia sana kwa kuniwekea link ya majibu ya maswali yangu.
 
alikuwa anaitwa malkia wa wizi wa kalamu alifungwa miaka 28 nikumbukavyo mimi labda wana jf wanikumbushe kati ya mwaka 1987 au1988 kama sikosei enzi hizo nilikuwa young sanaduh umenikumbusha mbali sana mkuu

mkuu unajua miaka ya 95 nilimuona gerezani mohamed toroha nilikuwa nasikia tu toroha toroha.huyo jamaa japo alikuwa gerezani laki chakula pamoja na sehemu aliyokuwa analala haikuwa tofauti na mtu aliyekuwa uraiani.
 
huyu mama anakaa kawe na amefulia mbaya na anaish kwa kutegemea kodi za wapangaji wa nyumba zake nne ambazo amepangisha hana jipya na hatembei mtaani maana anajistukia mbaya!
 
Kintiku,

Kitinku,

Shule za kayumba wakati ule zilikuwa shule kweli hata walimu pia walikuwapo sio sasa hivi hakuna shule wala walimu !
 
Huyo kijana hakuwa toroha mohamed toroha na mzee moja aliyekuwa mkurugenzi wa klm ernest mwenewanda ndiyo aliyetoa tiketi kama kumbukumbu zangu ni nzuri...
 
huyu mama anakaa kawe na amefulia mbaya na anaish kwa kutegemea kodi za wapangaji wa nyumba zake nne ambazo amepangisha hana jipya na hatembei mtaani maana anajistukia mbaya!
Kama ana nyumba 4 na zina wapangaji, nadhani anaweza kujikimu vizuri, unless kuna viwango vya kufulia.
 
Mhh mmenikumbusha mbali na ile kesi ya mfanyakazi wa KILIMANJARO HOTEL anaitwa Juma Zangira nani anaikumbuka miaka ile ya 70s 80s
 
huyu mama anakaa kawe na amefulia mbaya na anaish kwa kutegemea kodi za wapangaji wa nyumba zake nne ambazo amepangisha hana jipya na hatembei mtaani maana anajistukia mbaya!

Mkuu, kipimo chako cha kufulia ni nini? Umeishaambiwa ni mlokole. Mwenyewe unakiri kuwa anaishi kwa kutegemea kodi za Wapangaji wa NYUMBA ZAKE NNE! Unajua kodi ya Chumba kwa mwaka Dar? Amefulia? Think Again.
 
Back
Top Bottom