Maskini Salmin Amour! MUNGU AKUPE NGUVU

ndio maisha na sisi tunaelekea huko huko! Cha msingi ni kuzidi kumwombea, pamoja na Mzee Jumbe ambaye hali yake si nzuri kwa muda mrefu sasa pale kigamboni.
 
Komandooooo, malipo hapa hapa hakuna cha kusubiri ahera

Mmmmh, unajua wakati mwingine huwa nikikaa na kufikiria khsiana na maneno hayo Geka huwa naona kabisa kuwa huenda yakawa na ukweli ndani yake! By the way, hopefully God will forgive him freely for sure!
 
Last edited by a moderator:
Duh kk shida huwa tunasahau tofauti zetu, lakini huwanajiuliza huo0 ukomandoo ulitokana
na nini haswaah sijawahi kufaham chanzo chaukomandoo wake nijuze AZOTE
 
Duh kk shida huwa tunasahau tofauti zetu, lakini huwanajiuliza huo0 ukomandoo ulitokana
na nini haswaah sijawahi kufaham chanzo chaukomandoo wake nijuze AZOTE

Alitokea kwenye uongozi wa umoja wa vijana TAnzania, na akapewa baadaye cha ukamandow a vijana Tanzania, hapo ndipo lilipochipuka jila la ukamandoo.
 
9.jpg nilimwona dom na vuai akiwa na afya hii Dr.Salmin.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom