Maskini Salmin Amour! MUNGU AKUPE NGUVU

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Jamani wapendwa
nimemwona mh wetu rais wa zamani wa zanzibar mh salmini amour
akiwa anaongozwa na kifimbo hakika nikahuzunika sana sana
nilipouliza jamani kuna nini ndipo nikajuzwa maskini haoni amekuwa hivyo muda kidogo
mwisho namtakia heri hata akishindwa kuona vingine basi vya kitandani aone
kila lal kheri baba
 
dah kabla hujafa hujaumbika yule mke wake wa zamani atakuwa anahusika
 
Aiseee we ach t u ndugu yangu ukimwona yaani komandooooooooo kama ile wamemtupia mzigo anajitahdi kuutua lakini wapi anatembea pole pole kama anatafuta mstari wa ikweta jamani dunia hii loh
 
komandooooo, malipo hapa hapa hakuna cha kusubiri ahera

mwanangu usifike huko mpwa
yaani mkewe aliwekwa ndani na kijana mmoja aisee kama mamayake mzazi naamini hayupo nae tena aisee
 
yupi? Wa kilimanjaro au....? Watakuwa wanamtikisia kiberiti tu

nahisi ujio wa wake wengi hii ni matatizo tena hujui nani kakupuulizia aisee oeni hata kamoja jamani mkishindwa njooni kwetu
 
dah kabla hujafa hujaumbika yule mke wake wa zamani atakuwa anahusika
UNAMMAANISHA SALMA?? HUYU MAMA NAYE KWAO WANAKUFA NDUGU ZAKE KARIBU WOTE WAMEKUFA SIJUI NI NINI? HAPA KWAO PAMEBAK HOUSEGIRL TU , PAMECHAKAA HUWEZI AMINI KM NI NYUMBANI KWA MKE WA RAIS, ngoja niache umbea
 
Huyu mama sijui ana nini alipewa hotel ya kitalii kipindi mme wake yuko madarakani ikaungua yote na moto hii yote ilianza pale walipoachana na SALMIN
 
Jamani wapendwa
nimemwona mh wetu rais wa zamani wa zanzibar mh salmini amour
akiwa anaongozwa na kifimbo hakika nikahuzunika sana sana
nilipouliza jamani kuna nini ndipo nikajuzwa maskini haoni amekuwa hivyo muda kidogo
mwisho namtakia heri hata akishindwa kuona vingine basi vya kitandani aone
kila lal kheri baba
Ndo ya Mungu hayo. Amekuwa na matatizo ya macho tangu mara baada ya kutoka madarakani. Lakini afadhali ya salmin, mi namsikitikia Mzee Aboud Jumbe
 
mmmhhh basi hawa kamchezo chao
kwa nini si mwnyi/nkapa/jamani kunani zanzibari
naambiwa ati karume nae yuko mbioni kwenye macho loh
 
Waje kwenu?! Wapi?! Kwa David Cameron?!, hii sentesi yako inaweza ikapindisha mada, tafadhari inyooshe vizuri.
nahisi ujio wa wake wengi hii ni matatizo tena hujui nani kakupuulizia aisee oeni hata kamoja jamani mkishindwa njooni kwetu
 
Huyo ndo komando,mke wake alikuwa bomba kweli,sijui kwa nini waliachana

FL usitake kunichekesha mamaaaa! Ndoa bila mume kuwa na mamlaka ina raha gani kama wewe mwanamke ni mfanyabiashara na unataka mambo yako ya biashara haramu yaende vizuri?

Binafsi nilimuona mwezi wa nne kwenye sherehe ya kitaifa kule zanzibar, nilihuzunika sana kumuona akiongozwa. Alikaa sana china lakini inaonekana Mungu alipenda awe vile ktk muda huu mfupi wa maisha yake duniani.

Hujafa hujaumbika wajemeni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom