maskini OBAMA...hii kashfa inaweza mwangusha kabisaaaaaaaaa

Spot on mkuu, yaani Rommey na Netanyahu wamesubiri kwa hamu mada kuhusu IRAN na mashariki ya kati - mbuni zao ni kutaka kuonyesha kwamba OBAMA yuko wobbly sana inapokuja suala la IRAN, kwa hiyo hafahi kuwa kiongozi wa taifa kubwa - si ajabu Rommey akaongezea kwamba kuna habari za kuaminika za kitelijisia kwamba Wairan wamebakiza miezi miwili kulipua bomb la Nuclear.

Wanaweza kuongezea chumvi kwamba IRAN ina mpago wa kuwapa Hezibolla na Al-Qeidafissile material specifically H.E.U watengeze a crude nuclear bomb ya kuweka kwenye briefcase na kuzisafirisha kwenda Israel na Merikani , wakisha tamka hilo kesho yake media za huko ambazo wamiliki wake ni Wayahudi wata-splash kwenye magazeti ya broadsheet na luninga at a prime TIME kuwatishia Wamerikani kuhusu uwezo hatari wa IRAN. Hata hivyo sidhani kama mbinu hizo zitafanikiwa kubadili mawazo ya Wamerikani walio wengi kuhusu Mjaluo, atachaguliwa tu for a second TERM.
well said all.., lakini kwa mawazo yangu mimi, siku zote vyama hivi viwili sambamba na wagombea wao yaani, Republican ( Mr.Romney) na Democratic ( Rais Obama), havishindani sana katika siasa za Nje ( foreign policy)., ndio watajalibu kuongelea lakini kubwa zaidi ni sera za siasa za ndani za Marekani ambazo zinawagusa wamarekani wengi katika Mustakabali wa Maisha yao ya kila siku.
Na kwa Maana hiyo.., sera ya nje ya Marekani haibadiliki au haishindaniwi sana...., Kwani utakumbika vizuri Sera ya siasa ya nje ya marekani hasa kuhusu ulinzi kipindi cha Rais Bush ( jr ) dhidi ya UGAIDI, iliendelezwa/ inaendelezwa na Rais Obama.,Mfano.kuusambalatisha mtandao wa Al-Qeida kwa kupatikana kwa OSAMA.

Saluuuuuuuuute.!!
 
well said all.., lakini kwa mawazo yangu mimi, siku zote vyama hivi viwili sambamba na wagombea wao yaani, republican ( mr.romney) na democratic ( rais obama), havishindani sana katika siasa za nje ( foreign policy)., ndio watajalibu kuongelea lakini kubwa zaidi ni sera za siasa za ndani za marekani ambazo zinawagusa wamarekani wengi katika mustakabali wa maisha yao ya kila siku.
Na kwa maana hiyo.., sera ya nje ya marekani haibadiliki au haishindaniwi sana...., kwani utakumbika vizuri sera ya siasa ya nje ya marekani hasa kuhusu ulinzi kipindi cha rais bush ( jr ) dhidi ya ugaidi, iliendelezwa/ inaendelezwa na rais obama.,mfano.kuusambalatisha mtandao wa al-qeida kwa kupatikana kwa osama.

Saluuuuuuuuute.!!

aipac will decide who can fit them and no bodyelse
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom