Maskini mwananchi limekuwa gazeti la propaganda la CCM

Mwananchi tangu mhariri wake Mzee Makunga aliposhtakiwa kwa kesi ya uchochezi pamoja na Samsoni Mwigamba na Absalom Kibanda wamekosa ujasiri wa kuandika kwa uwazi habari ambazo sio nzuri kwa serikali.
 
Back
Top Bottom