Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
duh....hebu nisaidie hiyo recipe ya dayati......nataka nipunguze juu tuu huku chini niachie nitajimudu
Preta.....

Maana miaka ya nyuma kidogo nilivyomuona na sasa inanipa wasiwasi mie mwenzenu... Wembamba huu ambao kila siku naona kama unaongezeka nini? , Maana kama ni diet, hata mie ningetaka wakati nikija kuwa mnene.
We acha tu, mungu lakini hua analijua hilo, ndo maana maskini wanakula zao ugali matembele, nyama kwa wiki mara moja aah huezi kuta wamevimbiana kama hao wanaofakamia, mamikate, dengu, mi kuku mi chips, hawafanyi hata mazoezi, matokeo yake ni hayo, zina watoka pesa.Kama huna hela basi mtu waweza kufa, coz nahisi hiyo surgery lazima itakuwa na masharti...CC maskini tutakufa, wenye hela watapona
Mh we nae una mambo, njoo mi nikupe uwe mdogoo chini halafu mkubwa juu kama simba.Preta.....
Kinyau you are right! alifanyiwa minor sugery India na kutolewa mafuta. Nafikiri ni katika harakati za kuhakikisha hamkosi yule dada yetu wa kibongo ambaye ni Mrembo na mwanamuziki wa R&B ambaye asili yake ni kanda ya ziwa.

mh tangu lini DADA akamkosa dada
google search cabbage soup diet then nenda nayo for seven days u will see wonders.
mh tangu lini DADA akamkosa dada
duh....hebu nisaidie hiyo recipe ya dayati......nataka nipunguze juu tuu huku chini niachie nitajimudu