Maskini Mustafa Hassanali

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Jamani, poleni na shughuli za hapa na pale
Me naomba kuuliza, hivi huyu mustafa Hassan ally mwanamitindo, huu wembamba alionao ni diet au kuna kitu kingine kimefanyika?
Maana miaka ya nyuma kidogo nilivyomuona na sasa inanipa wasiwasi mie mwenzenu... Wembamba huu ambao kila siku naona kama unaongezeka nini? , Maana kama ni diet, hata mie ningetaka wakati nikija kuwa mnene.
 
mhhh ...simo mie..Diet ya wapi mtu anatoka kuwa BONGE MZITO eti sasa ivi anakuwa kama kimwiba
 
Jamani, poleni na shughuli za hapa na pale
Me naomba kuuliza, hivi huyu mustafa Hassan ally mwanamitindo, huu wembamba alionao ni diet au kuna kitu kingine kimefanyika?
Maana miaka ya nyuma kidogo nilivyomuona na sasa inanipa wasiwasi mie mwenzenu... Wembamba huu ambao kila siku naona kama unaongezeka nini? , Maana kama ni diet, hata mie ningetaka wakati nikija kuwa mnene.

hii mada hapa kama c pahala pake, tafuta picha yake uiweke kwenye jamii photos na tittle hiyo utapata michango mingi tu(mtazamo wangu tu huu ucjae sumu )
 
Good, as you said, ni mtazamo tu
 
Unajua nilikuwa namwona bonge la mtu ghafla amejikondesha ghafla isije ikawa BP na Sukari?
 
Sayansi at ots best, itakuwa ni gastric bypass unafanyiwa opereshini ndogo ya kupunguza mafuta na kupunguza ukubwa wa tumbo kuchukua chakula hivyo unakonda ghaflaa u can run from 120kg to 55 kg. Japo si daktari i think its a dangerous exercise.
 
Jamani, poleni na shughuli za hapa na pale
Me naomba kuuliza, hivi huyu mustafa Hassan ally mwanamitindo, huu wembamba alionao ni diet au kuna kitu kingine kimefanyika?
Maana miaka ya nyuma kidogo nilivyomuona na sasa inanipa wasiwasi mie mwenzenu... Wembamba huu ambao kila siku naona kama unaongezeka nini? , Maana kama ni diet, hata mie ningetaka wakati nikija kuwa mnene.
Kituku pole sana na wewe kwakua mbali kidogo na ulimwengu, mambo ya Dr Ray hayo ndugu yangu, huyo Hasanal alifanyiwa surgery akatotewa zaidi ya kilo 30 za mafuta kwa mwili wake, hana cha diet wala cha nini, muindi na diet your teasing.
 
Kama huna hela basi mtu waweza kufa, coz nahisi hiyo surgery lazima itakuwa na masharti...CC maskini tutakufa, wenye hela watapona
 
inafanyika wapi jamani hiki kitu wengine tumelemewa huku......naombeni na cost zake ili nijiweke kamili......
 
PRETA WACHA UVIVU WW. UKIFUATA DIET MWEZI TU UNAUA KG 10. mi mwenzio nilikua bonge lakini nikafuata diet nikafanikiwa kupunguza kg zaidi ya 12. achana na mambo ya surgery.
ITS UNHEALTHY KULOOSE WEIGHT HARAKA SANA LAKINI UKIAMUA UNAZIKATA TU.
 
duh....hebu nisaidie hiyo recipe ya dayati......nataka nipunguze juu tuu huku chini niachie nitajimudu
 
mh,unapenda ya huko chini eh! Anyway cna uhakika kama itakuwa hivo au la but mi nilipungua kote.hebu niambie unaweza kaa bila carbs and sugar kwa three weeks?.

If so hebu cheki hollywood diet for seven days, then ukimaliza hiyo anza kula matunda na mboga za kuchemsha tu for three weeks. Tumia kabichi na vegies kama karot na peas,green pepper etc. Uctumie dried beans. Pata maji mengi sana kwa cku hata lita tatu au nne. Jitahidi upate juice ya tango,karoti na ukwaju uchanganye vyote.

Kikubwa ni kuwa mwaminifu tu kwenye diet ukimaliza three weeks pumzika kidogo kwa wiki moja then endelea kwa two weeks tena.

Baada ya kumaliza sasa anza kula kwa mpangilio mzuri na ukioa vipi uwe na cku za "kujinyima"
utapendeza sanaaaa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom