Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,900
- 21,989
Jaana kuna website nimesoma asbh aliamshwa na mkewe kwa ajili ya chai akamwita
Hny come for breakfast
aliposhtuka akauliza
""wameongeza lingine tena"""""
Mapenzi kweli kizungumkuti mke akamwambia usiwaze sana hny hii ni moja ya maisha lazima tuwe strong
wadadisi wanasema itamschuukua muda kuondokaana na haka kaugonjwa cha sita mpaka atakapotwaa ubingwa