Maskini Dereva huyu

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
Kuna kampuni ya magari makubwa(Trucks)ambazo hufanya shughuli za kusafirisha mizigo ndani na nje ya Tz,basi kama kawaida wasafiri huwa wawili suka na utingo wake,basi wakapakia mzigo Dar wanaenda nao Mbeya,lkn kufika mlima wa Kitonga wakakutana na Mapirate wa Kisomali,wakaliteka gari:
Msomali:sisi hatuna shida na mizigo yenu wala hela yenu shida yetu ni kumlala Dereva
Maskini Dereva wa wa2 mitutu AK-47,SMG,RPG,9MM imemzunguka akawa hana njia ya kufanya Wasomali wakamtenda na kuwaachia
Basi wakafika mpaka Mbeya dereva haongei na kondakta wake akiamini kwamba lazima atatoa siri kwamba yeye katendwa,wakashusha mzigo na kurudi Dar lkn wakiwa njiani Dereva akakumbuka kuwa pale Kitonga alitendwa,basi alivyoona wanakaribia kufika ktk ule Mlima yule Suka akapark gari na kujifanya anaenda kuchimba dawa,alivyorudi akamuomba Konda aendeshe kwasababu hajisikii vzuri.
Walivyofika mlima wa Kitonga wakatekwa tena na wasomali
Msomali:Nalikumbuka vizuri hili gari mara ya kwanza tulimtenda Dereva leo tunataka kumtenda Kondakta.
Dereva:mimi ndiye dereva huyu nimempa anisaidie tu
Msomali:hapana huyu ndiye dereva si unaona tumemkuta anaendesha,wewe ndiye konda na sisi tunamtaka kondakta leo,leo zamu yako
 
ni nouuuuuumaaa,jamani watu wana-chekesha teh teh teh teh teeeeh iiii,...nadhani dreva keshakuwa bwabwa loool
 
Back
Top Bottom