ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Jamani ni wapi pale CHADEMA ilisema haitambui rais? Nielimisheni.
Sikiliza hapa dakika ya pili YouTube - Dr. Slaa atolea maelezo kutoka nje kwa Wabunge wa Chadema Nov. 18, 2010
Jamani ni wapi pale CHADEMA ilisema haitambui rais? Nielimisheni.
Kati ya maajabu katika siasa ni ya chadema. Hawatambui matokeo ya urais halafu rais wanamtambua. Hii ni kali kama huamini kuwa hakushinda kwa halali basi ili takiwa asitambulike kama raisi halali. Wadau hebu tujadili hili. Sheria inasema rais akitangazwa basi. Lakini kutomtambua kwa namna yoyote kisiasa sheria haisemi chochote. Kinachosemwa rais wa nchi aheshimiwe. Kwa chadema peoples power hapa wanatuchanganya

tuache kudiscuss mambo ki****se**nge ki****se**nge. CHADEMA wameongea na wameeleweka ila kuna watu humu JF wametumwa kufanya kazi maalum ya kutuletea habari zisizokuwa na maana. I think and am very sure on this, that's people in here are diverting attention ya watu ktk kujadili mambo ya msingi na the way foward. Kiktatiba hairuhusiwi au niseme hakuna popote mtu au taasisi yeyote anayeruhusiwa kumpinga rais akishatanganza na NEC. katiba hairuhusu. Finito, that's it KATIBA iliyowekwa na CCM hairuhusu. Kinachopingwa na CDM ni mchakato mzima uliomweka rais madarakani si rais mwenyewe kwa sababu sheria na taasisi ya utoaji haki ktk nchi yetu haitoi mwanya kuchallenge huu ukiukwaji mkubwa wa haki ya msingi. Utaratibu au mchakato usiokuwa huru na wa haki uliomweka rais wa sasa madarakani umepaliliwa na kulindwa kwa nguvu zote na NEC na hili ndilo dai lingine la CDM, Yani tume huru ya uchaguzi. Anyway tuache lkn humu ndani kuna watu wana agenda ya siri ya kudivert attention ya watu wengine. Unfortunately they r very weak na wala hawajui wafanyacho leave alone namna ya kufanya au kutimiza lengo lao bovu
ndio maana nahitaji kutoa somo juu ya logic!!! sijui watu wanajenga vipi hoja wakaridhika katika vichwa vyao.
ndio maana nahitaji kutoa somo juu ya logic!!! sijui watu wanajenga vipi hoja wakaridhika katika vichwa vyao.
1. Rais kachagualiwa kwa uchakachuaji (haukubaliki)
2. Katiba inalazimisha tume ikimtangaza hataka ni mchakachuaji huyo ni rais
3. Amani kama tunu ya taifa, inatakiwa ilindwe kwa hali na mali (Chadema wamefanikiwa kutuliza mashabiki wao) kudai wizi uliofanyika
4. Wamemwambia Rais "Kweli wewe Rais, ila ulichaguliwa kwa Wizi wa kura"-Huo ni ukweli na ukweli unauma sana
5. So Chadema naona wako sawa
Kwa kuzingatia logic haitafanya kazi vema namba 1 &2
hesabu ugonjwa mkuu! Ukisema logic wengine wanaogopa!ndio maana nahitaji kutoa somo juu ya logic!!! Sijui watu wanajenga vipi hoja wakaridhika katika vichwa vyao.
Jamani ni wapi pale CHADEMA ilisema haitambui rais? Nielimisheni.