Maskini bajaji na boda boda

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Kuanzi jumatatu ya 7/11/2011 bajaji na boda boda hazitzruhusiwa kuonekana kati kati ya jiji la Dar, badala yake zinatakiwa kuishia pembezoni tu, Hii ni kwa mujibu wa SUMATRA leo hii.
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NA AJIRA .................., Ndo maana nikasema poleni jamani na ongera kwa kuichagua magwanda, vibaka watarudi uuuupya.
 
je wanaokaa katikati ya mji wafanyeje?au na bodaboda wanasababisha foleni?ni mawazo mafupi kama maisha ya funza.
 
kama mlemavu anatumia bajaj ndo anaenda nayo job na hana uwezo wa kununua auto car hataruhusiwa pia? na mtu akinunua pkpk ya kujia job kama usafiri wake na anafanya kazi town ataruhusiwa?
 
Kuanzi jumatatu ya 7/11/2011 bajaji na boda boda hazitzruhusiwa kuonekana kati kati ya jiji la Dar, badala yake zinatakiwa kuishia pembezoni tu, Hii ni kwa mujibu wa SUMATRA leo hii.
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NA AJIRA .................., Ndo maana nikasema poleni jamani na ongera kwa kuichagua magwanda, vibaka watarudi uuuupya.

Hayo ni matusi kwa waendesha hizo na wamiliki wa hizo, futa kauli yako hiyo.
 
kama hawajui sheria kwa nini sasa wasipewe darasa halafu waruhusiwe kuingia mjin kuliko kuwazuia..[/QUOTE


watu wengine bwana, sheria zisipo fuatiliwa mnalalamika,zikifuatiliwa napo pia mnalalamika. mnataka nini sasa nyie watu????hawa drivers wanatakiwa wazuiwe kwanza ili waende kujipa darasa kivyao, wao ni watu wazima na wanatambua vizuri kwamba darasa japo kidogo linahitajika ili walau mtu awe na ABC za uendeshaji .kwa maisha ya sasa hivi hakuna mtu anaye kubembeleza kujifunza kitu wewe kama unaona sio lazima kujifunza ukipigwa chini akili ndo itakuja ya kupata darasa.sio siri now imekuwa kila mtu akipata vihela ananunua pikipiki anatafuta mtu yeyote wa kuiendesha ilimradi jioni hela inaingia. hiii sio sahihi kabissaaaaaaaaa. Kwa hili naunga mkono hoja! ningeomba wakimalizana na hao waende kwa taxi drivers.
 
Bora maana wamezidi kuvunja sheria za barabarani na kusababisha ajali.
 
Kwan bajaj si zpo zenye plet no nyeupe?so inamaana znaruhusiwa kula vichwa,iwej leo wanatuletea story?nlishangaa at kuna bajaj mayai ka v8 vile
 
Fresh tu sumatra tubanien tu ila angalien isije kuwa ni mpango wa mkubwa flan ili alete biashara yake town....patachimbika....
 
sumatra wehu tu! Na hawana ubavu wa kuzuia traffic wenyewe wangapi na kitu kidogo kama kawa.
Waliambiwa dcm zinapiga kelele ikulu zikipita kwenda ferry na wasitoe vibari wamezuia dcm zote kinyemela wanakata
 
Serikali hii ya kishkaj inapenda kweli shortcuts! Wangeimarisha usafiri wa umma kusingekuwa na ulazima wa matamko ya kijinga kila sku.
 
sumatra wehu tu...........................................Waliambiwa dcm zinapiga kelele ikulu zikipita kwenda ferry na wasitoe vibari wamezuia dcm zote kinyemela wanakata
Ahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye RED.
DCM a.k.a ''Gobore'' haziwezi kuondolewa kabisa....the same way kwa hizo bajaj na Boda Boda.....ni kauli tu hizo bila actions.''Poor Sumatra''na mipango mibovu.....ivi kuna watu wanakaa na wanalipwa kwa kufanya maamuzi kama haya?
Ningewaona wajanja sana na wanamipango madhubuti kama wange zuia na private car zisiingie(ikiwa imebeba chini ya watu watatu) CITY CENTRE....Wakati huo huo wakiimarisha Public Transport(Dala dala) ziwe za ''level seat'' na Ziwe zina Fungwa kioo(AC Itumike)......
Hapo,kila mtu atapenda kutumia Public Transport....
 
hivi hawa wenye bodaboda si ndiyo chama cha magamba wanawanunua wakati wa kampeni na kuwatumia kwenye misafar ya wagombea? ndiyo wajue ccm ina wenyewe.
 
Jamani wakati mwingine 2cbishane tu bila kuwa na hoja,
tujiulize kwann 2zuie bajaj na bodaboda,
1. Kama ni ajali za bodaboda hazitokei city center tu tena pembeni ya mji ndio hutokea zaidi kwahiyo kufanya hivyo sio suluhisho la ajali za pkpk na bajaj na ukweli ni kwamba wengine husababishiwa ajali ne wenye magari kwakuwa wao hujiona watakuwa salama ndani ya gari.
2.Kama ni foleni bodaboda hazihusiki hata kidogo tena zinasaidia sana kwa wakimbizanaji kwenye interviews kama cc kwahiyo halitakuwa suluhisho la foleni kuzizuia.
3.Kama ni kuvunja sheria daladala na magari binafsi yanavunja sana tu sasa yazuiwe yacje mjini.
Watuambie sababu zinazowafanya wazuie zisiingie mjini.
 
Back
Top Bottom