Maskini Afrika...!

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
663
117
aAnother one gone..sasa kabaki Mugabe nae ndo hivyo uzee unamkaba! kiongozi ambaye anaweza akasimama na akatetea Africa na watu wakamuelewa..waliobaki sasa ndio hao tukiletewa vyandarua tu watu wanapewa migodi wanachimba na kusaza.
Waliokuwa wanajitetea na mafuta yao katika Afrika ndio hivyo Libya sasa kwisha kazi, nchi nyingine zenye mafuta migogoro kila kukicha...yani da! inauma sana...sijui lini bara hili letu la Africa tutakuja kuwa na maisha mazuri!
 
Back
Top Bottom