Maskini Abas: Si serikali inayaona haya??????????????

wende

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
714
65
Du,sorry apo nimechemka! Nimesahau kuweka taarifa yake.
 

Attachments

  • abasi%202.jpg
    abasi%202.jpg
    14.7 KB · Views: 82
  • abas%20uvimbe.jpg
    abas%20uvimbe.jpg
    14.2 KB · Views: 58
Jamani hivi watu kama hawa serikali haiwezi kuibgilia kati kuwapa msaada wa matibabu? Pesa za posho na kuwapeleka wabunge Ulaya na Malaysia kufanya mambo ya kifisadi zipo lakini za kuwasaidia watu wasiojiweza hazipo? Hapa mtu unaweza kujuta kwa nini ulizaliwa kwenye nchi hii. WanaJF tuanzishe kampeni ya mchango wa kumsaidia binadamu huyu halafu tunadike petition ya kuilaani serikali ikibidi tuipeleke Ofisi ya UN, AU na balozi za nchi wafadhili (!!!!). Kuna na mtoto mwingine hapo Keko alipigwa risasi na polisi sasa anaoza na kufa akijiona kwa sababu ya kukosa msaada.
 
Back
Top Bottom