Maskani ya CCM Z'bar yachomwa na watu wanaodhaniwa kuwa UAMSHO

kumbe CCM wana makanisa pia! duh, haya. ila kama mtu unaakili timamu huwezi kukubaliana na habari hii unless uwe na interest zako hasa za kidini.

CCM wanafanya nini kwenye hivi vibanda????? Kwa nini baraza la mji likaruhusu hivi vibanda kujengwa mjini??
AU ndio offices za janja weeds ????
 
ccm dhambi walioianzisha lazima iwatafune si kwenye utawala tu bali hata kwenye familia zao
 
CCM na serikali ya JMT wamewalea sana hawa jamaa na vikundi vya aina hii. Mambo mawili yanawezekana ktk tukio hilo:-

1) Inawezekana ni uamsho kweli wametekeleza ilani yao na mambo yao, au

2) Inawezekana ni njama za CCM ili kujifanya hawafungamani au kulaghai watu kuwa nao ni victim wa mfumo wao wenyewe.

Sisi tunajua wa kumkamata kwa mambo haya ni CCM tu.
 
Back
Top Bottom