Masikini TBC

aibu yao wenyewe napenda itv, mlimani tv startv nk hawa kwishinei kabisa ucku wa habari ulikuwa wakati wa jerry murro sasa hvi akuna k2
 
kinachonifuraisha kwa viongozi wa hiki chama tawala ni kuwa wameweka pamba masikioni na kumiminia super glue kabisa ili zisitoke. teh teh teh!
 
Dah mkuu hiyo avatar yako balaa. Unaweza ukajaza kitabu au kupewa PhD kwa kuitafsiri tu...
 
Back
Top Bottom