masikini simba..!!. yafanyiziwa tena.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Ule mpambano wa kukata na shoka uliokuwa unazikutanisha timu mbili kati ya simba ya Tanzania na Asante kotoko ya Ghana umemalizika ambapo simba wamaefanyiziwa tena.
Kipindi cha kwanza kimeisha bila timu kufungwa. lakini kipindi cha pili kimeanza kila timu ikionyesha cheche zake lakini dakika ya 73 mchezaji wa asante kotoko MICHAEL ANABA ameweza kupatia timu yake goli. hadi mpira unaisha;
SIMBA 0 - 1 KOTOKO.
simba wamejitetea kwamba walichezesha kikosi cha pili Ndo maana wakafungwa. MIA
 
Walichezesha cha pili cha kwanza kilikuwa wapi?

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
napenda kupata maoni ya crushwise. Mkuu vipi timu yako? ni kitu gani kimeisibu? Mia
 
Sasa mkuu unaposema kua Simba imefungwa TENA, kwan mara ya kwanza ilikua lini??
Au nawe unaungana na wale wanaodai Kili Stars nayo ilikua Simba??
Sio poa namna hiyo!!
Tumefungwa hii tu moja, kama unafurahia basi subiri kiama chenu kutoka Zamaleikh kwenye Klabu Bingwa Africa.
mia.
 
Simba wamechezesha wachezaji watano wa timu ya vijana waliopandishwa kwenye timu ya wakubwa.
Wachezaji wengine Kaseja,Jabu,Nyoso,Kazimoto nk wako K'njaro stars.
Kama wamefungwa 1 tu ni sawa na ushindi kwa Taifa kubwa! Kotoko wamekuja na wachezaji wote muhimu!
 
Nimemsikia rage usiku huu anasema aliamua kuchezesha okwi na kaseja baada ya kuona akiingiza timu nzima watasema heeeeee timu ya kilimanjaro imefungwa tena kwa hiyo mpwa wamesoma nyakati kuweka yosso
 
Back
Top Bottom