Masikini pole,hizi ni laana

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Pole sana mh.kikwete kwa matatizo yanayolikumba taifa lako,matatizo yote yanayo tokea ,ufisadi,mfumuko wa bei, kuongezeka kwa umasikin,uchumi kudolola,viongozi ktk serikali yako na wewe mwenyewe kuropokwa,n.k,n.k yote hayo hayatokei kwa bahati mbaya,mh ukweli ni kwamba umelaaniwa,uliba kura zetu ukalazimisha kuapishwa nakua rais,ukwli ni kwamb wewe haukua changuo letu,bali Dr W.P.SLAA ndo changuo letu na atabaki kua changuo letu.Mh.ustafute mchawi ktk uongozi wako ni wew mwenyewe hzi ni laana kwa dhuluma uliyoifanya ku2ibia kura zetu,ila msing ulilofanya na 2nashukuru ni kukomaza kiswahi kwa kurudisha baadh ya misamiati iliyo kua inapotea kama..kwapua,limbikiza,kujitwalia, pigambizi,fisadi,n.k.mwsho, nakuonea huruma sana Mh,hii laana itakuandama tu na bado,..cha msing tunachokuomba ni tuachie nchi yetu ukapumzike uko kwenu,laana unazo wewe ila mateso tunapata sie chondechonde mh..!
 
Aachie ngaz dr wa ukwel ambae ndo chaguo le2 aendesh nchi. Na bdo waliompa kura jk nao pia wamechangia hii laana! Itawala nawao
 
Aachie ngaz dr wa ukwel ambae ndo chaguo le2 aendesh nchi. Na bdo waliompa kura jk nao pia wamechangia hii laana! Itawala nawao

Hii laana ni balaa tupu inawala wote hata wasiompigia kura jamaa I mean JMK.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom