Masikini bibi wa watu..

Anatomy

Member
Feb 7, 2012
51
6
Ilitokea pande za mbagala...
Kuna bibi mmoja alikua na miaka 20 tangu ahamie mbagala hajawah kupata siti
sa siku hiyo katika kugombania basi akapata siti
ghafla akaanza kulia
konda-"bibi mbona unalia???
Bibi-" mjukuu wangu tangu nihamie mbagala nna miaka 20 sijawah kupata siti ndo kwanza leo....uku akiendelea kuto a machozi kwa uchungu....

Ghafla konda akamwambia....HATA HIVYO BIBI SITI ULIYOKALIA NI YA DEREVA KWA HIYO NYANYUKA dereva kaenda kujisaidia....na yuleeeeee anarudiiii

bibi alianguka chini na kuzimia...!!!
 
Mbagala iko nchi gani mkuu ?!
***

Similar Discussions

Back
Top Bottom