Mashuka mazuri kwa bei poa.

mbona mambo ya biashara bado tupo nyuma, unawekatangazoambalo linawapa watu shida kabisa kuelewa
hizo shuka ni mpya ama ndio mambo yetu, ni za size gani 6x6, 8x6, 10x6 nk, ziko set na foronya?
 
Why dont you try Buy and Sell or diistribute to machingas on commision basis
 
wale wadori zako awakukuachia na mashuka>?
au ndo hayo badala ya kuyafanya jivu we wayauza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom