mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 638
usichojua wala kutaka kujua ni kwamba. Wajerumani waliamua kufanya collective purnishment kwa vilshanyika walikuwa nyuma ya hawa viongozi ingawa baadae walipoachwa nao waliendlea uzwa. Ni kuwa irrational km unavyojaribu kuwa hapa, umeset mind yako kuwatetea, ndio maana si rahisi kuwa mkweli hapa. Lets cut it shot...JE MKWAWA,KINJEKITILE, ABUSHIRI HAWAKUUZA WATUMWA?
Umeanza kimbilia kwamba nimekutukana,sasa hujaomba hata msamaha,kwa kuanza jialainisha km wabunge wa ccm.Wanapokuja hoja ngumu ya matendo yao ya aibu kuliko matusi.Wanadai wametukanwa as if hayo matusi hawajafanya kwa vitendo.
Nikuombe msamaha MTU kama wewe Ili iweje? Umegeneralize sana kusema wote walikuwa wafanyabiashara Wa utumwa.nakuambia tena sio wote walikuwa wafanyabiashara Wa utumwa
Sio wote walioingia kwenye vita kama makamanda wa utumwa,wangoni hawakuwa wanafanyabiashara ya utumwa,wapogoro,wandamba hawakuwa wafanyabiashara wa utumwa na makabila mengine.
Unawataja hao watatu tu wakati kulikuwa kuna viongozi zaidi ya 20 wakiwakilisha makabila yao ,isitoshe mkwawa hakupigana vita vya majimaji alikuwa ameshakufa,upo irrelevant na ukweli mkuu.
Majimaji ilikuwa ni vita ya kuikomboa Tanganyika kwa Mara ya kwanza kama taifa,ndio vita iliyounganisha utaifa kwa kumtambua adui yetu in nani badala ya kupigana kama kabila kwa malengo ya kikabila.