Mashosti wanaudhi jamani

Mimi mbona sijawahi kuwa na shosti akanifanyia hata moja kati ya hayo kumi?!
 
Na ndio maana rafiki zangu ni wanaume, hizo sifa zote ulozitaja hawanazo kabisa....
Nilishaamua kutemana na mashost toka wanitende, mmoja mpaka leo sitaki hata kumuona, nilimtambulisha kwa my BF, ndani ya wiki moja tu, nikamfumania na my BF kitandani LIVE, wanafanya! Iliniuma sana.
 
na ndio maana rafiki zangu ni wanaume, hizo sifa zote ulozitaja hawanazo kabisa....
Nilishaamua kutemana na mashost toka wanitende, mmoja mpaka leo sitaki hata kumuona, nilimtambulisha kwa my bf, ndani ya wiki moja tu, nikamfumania na my bf kitandani live, wanafanya! Iliniuma sana.
daah pole zinduna sitaki tena rafiki wa kike potelea mbali
 
1- mtu anakupigia simu ila unaongea na simu nyingine na simu inamuonyesha kabisa iyo simu inaongea ila yeye anaendelea kupiga tu anakuharibia maongezi maana simu inakata kata dkk 3 tu unakuta 45 missed calls .. Aya sema basi unachotaka oooh shosti nimefuliaaaa.......................... Mimi bwanako potelea mbali huko

2 unamwalika rafiki yako kukaa kwenu siku unataka kuvaa nguo yako flani kumbe chafu amevaa unacheki nyingine tena amevaa nyingine tena amevaa jamani ?+

3 mtu anakulilia nikopeshe shosti nakurudisia hela yako jtano,jtano inafika wala humuulizi jtano nyingine unakausha tena jtano nyingine unamuuliza vp anasema oooh nilishasahau nipe wki nikutafutie hela yako.......... Fia mbali huko


4unatoka out na mtu tena yeye ndo kapropose kiwanja anaagiza kama hana akili bili ikija anakausha halafu daily ni wa hvo ,,,,,,,tusitafutane leo

5 mtu amekuomba mchango wa harusi umemuahidi tar flani hata haijafika kila saa anakupigia simu ...kwani lazima au unanidai?

6 facebook mtu hata humjui anakutumia request anaanzisha chati mtu upo zako bize anaanza kukutukana eti unaringa na nakublock nisikuone tena kwani nilikuita ? Potelea mbali huko...............
7 mtu amekutongoza humtaki anaanza kujipendekeza kwa wazazi wako na kuwanunulia zawadi ... achana na mimi
8.................................
9...................................................
10 mambo chungu mzima

wkend njema jf siko vizuri leo

Smile kweli haukuwa vizuri pole dear natumaini leo uko poa au sio?? sikuona hii thread wikiendi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom