Mashoga walilia mwaliko siku ya wanawake duniani.

Shansila

Senior Member
Jan 28, 2012
189
36
Katika hali isiyotarajiwa,wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na waliobadili jinsia(mashoga) wamelaani kitendo cha wanawake kuwatenga kwa kutowaalika katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.Mashoga ktk mji wa Kampala nchini Uganda
walipaza sauti zao mbele ya mwandishi wa idhaa ya kiswahili ya shirika la utangazaji la Uingereza bbc kutaka jamii kuwahesabu kama wanawake na kuwahusisha ktk masuala yote yanayohusu wanawake!

Chanzo:BBC SWAHILI.
 
eee Mungu tusaidie! Wanaume wanapungua kila siku, ndoa ya mume na mwanamke mmoja itawezekana kweli?
 
Kwani wao ni wanawake? Ni laana tupu, hakuna lolote maskini mzazi mwenye mtoto asiye riziki!!!
 
Back
Top Bottom