Mashoga wafungwa Jela kwa kufanya mapenzi kwenye gari

Wana JF.

Naona lile janga la ushoga linazidi kupata nguvu ya ajabu kwenye bara letu la afrika..

Wanaume watatu nchini Cameroon wamehukumiwa miaka mitano kwenda jela kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja ambavyo ni kinyume na sheria ya nchi hiyo.

Watuhumiwa wawili walikuwa mahakamani katika mji mkuu Yaounde, lakini mtu wa tatu alihukumiwa akiwa hayupo.

Polisi walisema watu hao walikamatwa wa kukutwa wakifanya mapenzi kwenye gari. inatisha na ni uamuzi usiokubalika alisema polisi mmoja.

SOURCE: AFP

wanawaonea tu machoko wa watu. Mpini wapigane kwa starehe zao, roho iwaume wengine!
 
Back
Top Bottom