Mashoga wafungwa Jela kwa kufanya mapenzi kwenye gari

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.

Naona lile janga la ushoga linazidi kupata nguvu ya ajabu kwenye bara letu la afrika..

Wanaume watatu nchini Cameroon wamehukumiwa miaka mitano kwenda jela kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja ambavyo ni kinyume na sheria ya nchi hiyo.

Watuhumiwa wawili walikuwa mahakamani katika mji mkuu Yaounde, lakini mtu wa tatu alihukumiwa akiwa hayupo.

Polisi walisema watu hao walikamatwa wa kukutwa wakifanya mapenzi kwenye gari. inatisha na ni uamuzi usiokubalika alisema polisi mmoja.

SOURCE: AFP
 
Hao waliowafunga ndugu zake devid wanaibipu uingereza, ngoja tuone, wengine yetu majicho!
 
Tufanye kama Ug, ukikamatwa ni kifo tu maybe utapungua

Badala ya kufanya hivyo kwa mafisadi na wale wanaowaua albino mnataka kuelekeza ukichaa wenu kwa watu wazima wenye hiari ya kufanya wakipendacho! No wonder we are where we are!
 
Badala ya kufanya hivyo kwa mafisadi na wale wanaowaua albino mnataka kuelekeza ukichaa wenu kwa watu wazima wenye hiari ya kufanya wakipendacho! No wonder we are where we are!

Nadhani hao uliowataja na awa mashoga wote wanatakiwa wapate hukumu ya kifo tu
 
hii habari ilikuwepo habari imerudiwa,Niliiweka mimi Jana naona Umeirudia mkuuu...pole lakin.
 
Nadhani hao uliowataja na awa mashoga wote wanatakiwa wapate hukumu ya kifo tu

Hapana Chatu Dume,

Wa kuulaaniwa ni yule mwanaume rijal anaye geuza wanaume wenzake mashoga. Tena asiuliwe bali ahasiwe na kitu yake ilegee milele. Wengi wa mashoga waliharibiwa na hawa hawa wanaume rijali.
Utawajuwa tu hawa wanaume laana.
Ndio hasara za kupenda Tigo. Jamaa likikosa Tigo ya mwanamke linaparamia tigo hadi za watoto wa kiume.
 
Hii imekaa vizuri, sote yatubidi tuchukue hatua kali dhidi ya vitendo viovu kama hivi na Uingereza ikose pa kupeleka misaada.
 
Haya mambo sio ya kuyapuuzia ipo siku utasikia mwanaume mwenzako anakuletea posa nyumbani kwenu
 
Back
Top Bottom