Mashoga wa JF.

nimesoma thread nzima..and I feel sort for u.omba mungu atakusaidia coz umeonyesha nia ya kutaka kusaidiwa.gud luck
 
Nadhani kwa kila penye mkusanyiko na wao wapo katikati yenu!sasa kama nihivyo na mnapenda mtambuliwe kisheria basi matembezi uanzia nyumbani kwa mantiki hiyo kama wanajamii tulioko jf tungependa tuwafahamu!

Sijui umewaza nini?
 
Hapa kuna uwezekano watu wakashitakiwa maana sijui hapo kati kuna majina yametajwa??
 
Back
Top Bottom