Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
@blaine n kurt.
Maswali ya nyongeza.
Ulisoma boarding? Kuanzia darasa la ngapi?
Umekulia mkoa gani, hasa utotoni? Kama sitakukwaza
je katika familia yenu, umewahi sikia mwingine akiwa na tabia hii?
Je umewahi fikiria kuongea na familia yako kuhusu hili? Hapa kuna kitu nataka kuongea ila nasubiri jibu lako kwanza.