mafiakisiwani
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 833
- 616
mh!hatuyataki mambo ya kikameron hapa.
Sasa watapataje haki ya kutambuliwa kwenye jamii kama wamepewa jukwaa hawataki??je kama wewe ungekuwa gay ungeogopa kutumia hili jukwaa???wakati utashi wakuwa gay ukulazimishwa!Wow kurasa 5 na hamna kitu. Mazingira yanawazuia. Magay wengi hasa waliosoma na kazi nzuri hawataki maisha yao yabadilike hivyo hawajitangaza sehemu ya wazi kama hii. Kuna hofu ya kupoteza kila walichonacho kama jamii/familia itawatenga. Can u imagine ndugu kama shangazi/wajomba au wafanyakazi wenzio wakijua u're gay. Its too much to bear so noone comes out. Akina aunt........ wako wazi maana they don't have much. (I apologize for using kiswanglish)
I suppose u're right, it's easier being in a crowd than standing in front of ppl n say i'm gay. I'm sure IF someone comes out first in JF then others will follow depending on the reaction. it's a Tanzanian thing to wait for somebody else and gays are no different.Sasa watapataje haki ya kutambuliwa kwenye jamii kama wamepewa jukwaa hawataki??je kama wewe ungekuwa gay ungeogopa kutumia hili jukwaa???wakati utashi wakuwa gay ukulazimishwa!
Basi tuvute subira watakuja,on top of that mbona wa ulaya wanasema??tena Ma CEO! Why not here??I suppose u're right, it's easier being in a crowd than standing in front of ppl n say i'm gay. I'm sure IF someone comes out first in JF then others will follow depending on the reaction. it's a Tanzanian thing to wait for somebody else and gays are no different.
P.S.Why don't those aunt come to JF and talk, it might encourage more to come out
Since when did you start gay business, is it from childhood or when u were already grown up?I am gay. ask questions politely and I will try answering as best as I can
I am gay. ask questions politely and I will try answering as best as I can
Nadhani kwa kila penye mkusanyiko na wao wapo katikati yenu!sasa kama nihivyo na mnapenda mtambuliwe kisheria basi matembezi uanzia nyumbani kwa mantiki hiyo kama wanajamii tulioko jf tungependa tuwafahamu!
I am gay. ask questions politely and I will try answering as best as I can
No need to say sorry. I was hired soon after graduating. I was inclined to guys since primary school (can't remember which grade), liked my first boy in class7. I hanged out with girls a lot when I was younger but less after graduation since it might arise suspicion. No to the abuse thing and I got 2 brothers.Aisee; is it okay if l say sorry!
So umeajiriwa au umejiajiri? Where u at any point in ur life before u realiaze who u actually r; abused say by an adult?
R ur siblings girls, or did u use to hang out with girls zaidi ya boys?
Na mwisho forgive my ignorance; nani anaplay role ya mwanaume, wewe au partner wako?
Juu ya yote pole sana na umshukuru jamaa yako labda kweli ungejiua lakini yote maisha napia nakujitikeza hadharani JF ni matumaini yangu na wengine watajitokeza kwani nyinyi ni familia yetu hatuwezi kuwatenga kwa sababu ya maamzi mliyoyachagua!Naomba wachangiaji msilete kashifa kwake kama alivyo sema muulize swali lolote kwa usitaarabu atakujibuni!!No need to say sorry. I was hired soon after graduating. I was inclined to guys since primary school (can't remember which grade), liked my first boy in class7. I hanged out with girls a lot when I was younger but less after graduation since it might arise suspicion. No to the abuse thing and I got 2 brothers.
I'm versatile and prefer versatile guys, however there is no distinction in roles and he can't say e.g. go make dinner or let me pay for the date. It's more 50/50. I'm single now so I can focus on work since I don't want to be those dependent gays waowekwa ndani kama mwanamke wa kijijini.
I am gay. ask questions politely and I will try answering as best as I can
leo hii mtu akijitokeza akupeleke kwa daktari ili ufanyiwe ustaraabu urudi kwenye hali yako ya kawaida,will u accept that offer?