Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

Obama ni mwabudu shetani (Freemasons), hivyo anayoyatenda ndio mapenzi ya huyo anayemtumikia. Uchaguzi ujao atashindwa.
 
Hapo tena umeniacha hoi! ndugu humu ilishawahi kuletwa Thread ya kusiffia Jews ya kuwa wao ni bora kuliko watu wote Duniani na ni mfano wa kuigwa na Wakristo, sasa wewe unawatoa kwenye hesabu ............ haya mambo!

Kombo Waislaeli wana dini yao ya Kiyahudi. Na hiyo dini yao si ya Kikristo. Maana maandishi ya kwenye vitabu vyao vya dini yanafanana na maandiko ya Kiebrania aghalabu huitwa agano la kale kwenye biblia takatifu ambayo hayamtaji Yesu moja kwa moja bali yanataja unabii wa kuzaliwa Masihi Yesu. Wayahudi wanakubaliana na unabii wa kuzaliwa Mesiya, lakini hawakubali kuwa huyu aliyezaliwa na bikira Maria ni Yesu. Wanaamini Yesu bado hajatokea au kwa maana nyingine unabii wa Isaya kuhusiana na kuzaliwa kwa Masihi bado haujatimia. Pia katika imani yao, wenyewe wanawaamini sana Ibrahimu, Isaka na Yakobo na Musa, kitu ambacho si kibaya, maana hata kwa Wakristo wanawaona watu hawa ni wakupigiwa mfano. Lakini ukija kumtaja mtume Petro, Yakobo, Yohana na wengine, wanaweza kukupiga kwa mawe ufe.

Kwa upande mwingine, Maandishi ya Kigiriki (agano jipya katika biblia takatifu) ambayo huzungumzia maisha na huduma ya Yesu alivyokuwa hapa duniani hawayatambui. Wenyewe walimkataa Kristo kama Taifa bila kutafuna maneno yaani peupe au hadharani. Lakini kwa Mwisraeli mmoja mmoja kama atamtambua Kristo hiyo ni swala lingine. Na wapo Waisraeli wakristo.

Hivyo nachelea kusema Waisraeli ni binadamu kama binadamu wengine tu, na wako sawa machoni pa Mwenyezi Mungu kama watu wengine woote.

Ni hayo tu Kombo.
Naomba kuwasilisha.
 
mnh mbona mashoga hata hapa kwetu wapo,mmeusimamia kidedea ushoga wa marekani wakati hata hapa kaka zenu wanafanya mambo ya kishoga nyie vipi???
mashoga ni watu kama nyie...what one does in his bedroom remain none of you-r,mother ****ing bussiness!!!...ni choice ya mtu kuwa gay,kama ilivyo choice ya mtu kuwa na dini fulani kuwa na misimamo fulani katika maisha! just because your straight doesnt give you right to think you are more important than others(gay)!

we shoga sikia, kama wewe umechagua kuwa shoga na tusikujue, kwa sababu tutakuhang chizi wewe..ushoga ni laana..hakuna cha kuchagua...ulichagua kuzaliwa wewe chizi au ulijikuta tuu hapa duniani??vile ambavyo hukucg=hagua kuzaliwa ndivyo hivyo huna right ya kuchagua kila kitu..huwezi chagua kuwa shoga kwa sababu alokuumba hakukuumba shoga wee chizi..unashani unaweza fanya unavyotaka??chizi wewe, shoga mkubwa na tutolee mabalaa hapa..
 
Tuangalie kamusi zetu za Kiswahili kama neno Ushoga lina maana ya kujamiiana kati ya mume na mume. Neno halisi lipo la group hili.

achana na mambo ya kamusi wewe chizi..ushoga haukubaliki wee mwehu..kama na wewe ni shoga ujue unavofanya sio..kamusi kamusi hiyo yote kutaka tuu kujustify ushoga wako..mwehu wee..!!
 
mnh kama beberu hapandi beberu,so???... kuna wanyama wengine wanapandana-so hoja yako haina mashiko-uhomosexuality upo hadi kwa wanyama-google that upate majibu.

afu mie ni mpagani,hizo aya hazinihusu..thanks anyway.:teeth:

wee hata sio mpagani wewe ni shoga mwehu wee!!
 
mnh serikali haiwezi kuingilia masuala binafsi kama haya,wapo mashoga kibao tanzania mbona hatujasikia wamekamatwa kama ni uhalifu?hakuna case ya mtu kukamatwa kisa kafanya ushoga tanzania does this mean hakuna mashoga?mbona tunawaona mitaani na wengine ni maarufu kwa ushoga na hawajakamatwa?....serikali/vyombo vya sheria kutowakamata means ni kuwaachia wafanye wapendavyo,huoni this is as good as 'signing kama alivyofanya obama??

kisha nani alikuambia kuwa gay ni upungufu/kasoro??????ni CHOICE ya mtu,lazima kuwe na mipaka/heshima katika kuingilia in what one choose to do with her life!

mnh hio ya haki ya dada ya kuolewa hapo great thinker umeniacha hoi,kuna mahali wadada wamekulalamikia kuwa wamekosa waume wa kuwaoa kisa wanaume wamekuwa magay???which is better?,dada yako asiolewe au aolewe na mwanaume GAY????

tuondolee ushoga wako humu wee shoga sawa...mwehu wee
 
Kombo wale si wana wa Mungu kama watu wanavyodhani. Walimkataa mwana wa Mungu ambaye ndiyo njia na uzima, yeyote hawezi kwenda kwa Baba yake isipokuwa awe amepitia kwa Yesu.
Waislaeli katika dini yao ya kiyahudi (na vitabu vyao) hamna mahala utakapoona jina la Yesu. walimkataa kabisa. na ndiyo maana ufalme wakapewa mataifa. katika maana ya kwamba yeyote ana nafasi sawa kupata ufalme wa Mungu, ilhali anamkiri Yesu na fidia yake.

Amen!
 
we shoga sikia, kama wewe umechagua kuwa shoga na tusikujue, kwa sababu tutakuhang chizi wewe..ushoga ni laana..hakuna cha kuchagua...ulichagua kuzaliwa wewe chizi au ulijikuta tuu hapa duniani??vile ambavyo hukucg=hagua kuzaliwa ndivyo hivyo huna right ya kuchagua kila kitu..huwezi chagua kuwa shoga kwa sababu alokuumba hakukuumba shoga wee chizi..unashani unaweza fanya unavyotaka??chizi wewe, shoga mkubwa na tutolee mabalaa hapa..

weee punga sikiliza,mashoga walikuwepo kabla hujazaliwa,wapo na wataendelea kuwapo-you cant do a damn thing about it,you are soo stupid ina maana hujawahi kuona mashoga mtaani???mbona hujaenda kuwahang kama una hasira sana???shenzi wewe.....
hio kuzaliwa blah blah baki nayo,kwani dini mtu anazaliwa nayo? si anaikuta na kwa mapenzi yake anaamua kuifuta ama kutoifuata?basi na ushoga ndio hivyo hivyo...jinyonge basi????
 
Kombo Waislaeli wana dini yao ya Kiyahudi. Na hiyo dini yao si ya Kikristo. Maana maandishi ya kwenye vitabu vyao vya dini yanafanana na maandiko ya Kiebrania aghalabu huitwa agano la kale kwenye biblia takatifu ambayo hayamtaji Yesu moja kwa moja bali yanataja unabii wa kuzaliwa Masihi Yesu. Wayahudi wanakubaliana na unabii wa kuzaliwa Mesiya, lakini hawakubali kuwa huyu aliyezaliwa na bikira Maria ni Yesu. Wanaamini Yesu bado hajatokea au kwa maana nyingine unabii wa Isaya kuhusiana na kuzaliwa kwa Masihi bado haujatimia. Pia katika imani yao, wenyewe wanawaamini sana Ibrahimu, Isaka na Yakobo na Musa, kitu ambacho si kibaya, maana hata kwa Wakristo wanawaona watu hawa ni wakupigiwa mfano. Lakini ukija kumtaja mtume Petro, Yakobo, Yohana na wengine, wanaweza kukupiga kwa mawe ufe.

Kwa upande mwingine, Maandishi ya Kigiriki (agano jipya katika biblia takatifu) ambayo huzungumzia maisha na huduma ya Yesu alivyokuwa hapa duniani hawayatambui. Wenyewe walimkataa Kristo kama Taifa bila kutafuna maneno yaani peupe au hadharani. Lakini kwa Mwisraeli mmoja mmoja kama atamtambua Kristo hiyo ni swala lingine. Na wapo Waisraeli wakristo.

Hivyo nachelea kusema Waisraeli ni binadamu kama binadamu wengine tu, na wako sawa machoni pa Mwenyezi Mungu kama watu wengine woote.

Ni hayo tu Kombo.
Naomba kuwasilisha.
Nimefarijika sana ndungu yangu, Sisi Waislaam tunawaelewa vizuri Wayahudi pamoja na Imani yao. Tunajua kwa uhakika wapi wamepotoka, kupitia Quran Tukufu, ziko sura na aya mbali mbali zinzowaelezea wao na vituko vyao. Ni wazi wako baadhi ya jamaa zako wanao wachukulia Waisrael vinginevyo, na ndio maana ililetwa Thread na OCTOBER katika JF inayowasifia hao JEWS. Ahsante kwa mchango wako.
 
ally kombo
tunalaani uchafu huu na ni machukizo kwa mungu wetu, wamestahili adhabu ya mungu sawasawa na maandiko,
tujikumbushe kidogo maandiko yanasemaje: law.18:22 inasema '' usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo,
angalia tena; law.20:13 inasema '' tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauwawa; damu yao itakuwa juu yao....
Angalia tena mwanzo 19;5; hizi ni habari za sodoma na gomola, wale watu wa sodoma walimulazimisha lutu awatoe nje wale malaika ili wawajue (yaani walale nao kwa kuwalawiti) maajabu sana haya! Hebu soma hiyo mistari, mwanzo 19;1-5, basi wale malaika wawili wakaja sodoma jioni na lutu alikuwa amekaa mlangoni pa sodoma........akawalaki.....akawaingiza nyumbani mwake..... Mstari wa 4; hata kabla hawajalaa, watu wa mji, wenyeji wa sodoma, wakaizunguka nyumba vijana kwa wazee......mst.wa 5; wakamwita lutu wakamwambia wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua....!
Obama amefanya jambo la ajabu sana,mtangulizi wake bush alikataa kuweka mambo kama hayo tena kuwa sheria! Huu ni ukengeufu usiokubalika mbele ya utu na hehima na hofu mbele za mungu hata kwa mwanadamu,.....
ukisoma rum.1:26-27 nayo inaelezea hivyo hivyo; " kwamba.. Wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili (tendo la ndoa) wakawakiana tamaa wanaume wakiyatenda yasiyopasa......( kulawitiana).... hii ni laana na siku ya mwisho ni hukumu, soma 1 kor 6;9 inasema....'' au hamjui ya kuwa........waasherati hawataurithi ufalme wa mungu,....wazinzi,.....wala wafiraji, wala walawiti....hawataurithi ufalme wa mungu....jehanamu ni haki yao....acha uchafu huo....

hizi aya baada ya muda si mrefu zitachakachuliwa kwa kisingizio cha kiswahili chepesi, new version etc na maana zitabadilika. Walaaniweee!!!
 
If it is two consenting "adult human beings" then it is none of my business....
If its none of your business, siku nduguzo au watoto zako wakija fanya ngono wenyewe kwa wenyewe, au kuwaingilia mbwa utajasema hivyo hivyo... "adult human beings" then it is none of my business...
 
Back
Top Bottom