Mashoga nchini Tanzania

yah sio kuzaliwa kuwa mashoga, lakini wanakuwa na homony nyingi za kike na akishafika muda wa kubalehe ndio vichocheo hivyo vya kike vinakuwa juu na unakuta mtu anaanza kuplactice hayo mambo na ndio maana akasema wapo waliozaliwa hivyo

Hili lina utata kidogo, mimi sikubaliani nalo kuwa, ukiwa na hormones za kike zaidi ndio ulawitiwe? mbona kuna wanawake wengi sana hawalawitiwi?

Nadhani hormones za kike zikikuzidi unaweza kuota maziwa, unaweza kuwa na ulaini laini aina fulani ambao haiba zake ni za kike, unaweza ukawa na sauti nyembamba uongeapo, haina maana sauti nyembamba ndio ulawitiwe. Wala hainiingii akilini watu hulawitiwa kutokana na hormones zao. Inawezekana tu, unapokuwa na hizo dalili za kuwa na hormones za kike za ziada, basi watu wenye uchu wa ziada wa ngono (sex maniacs) hukutamani na kukurubuni (zaidi ukiwa ni mdogo, hujakomaa kujuwa zuri au baya) na kuchukuwa advantage ya kukulawiti, baada ya hapo, ndio unazowea tena, na ukisha zowea na aibu kukutoka ndio umeshakuwa shoga. Sababu hapa si hormones zinakufanya uwe shoga, bali, waharibifu ndio hukuharibu. Na kubwa zaidi nasikia, wataalam wanasema, sijui ni kweli au uongo, kuwa kwenye tupu zetu za nyuma ndio kuna mkusanyiko wa hisia ulio karibu, umekusanyikia hapo zaidi ya kwingine kokote mwilini, basi mkusanyiko huo ukichezewa, huleta raha, na hukufanya utamani tena na tena kuchezewa, na ukitanabahi umeshaharibikiwa.

Tupige vita vitendo hivi, kwa nguvu zetu zote. Tukiwaona watoto zetu walio wadogo (wa kiume) wana dalili za kuwa na hormones za kike za ziada au za kiume za ziada (kwa wanawake) tuanze kuwasaidia kwa kutafuta ushauri wa madaktari na kujaribu kuwafundisha wasidanganyike na waharibifu wa kike na wa kiume.
 
jamani....weatern countries are finished with gays (shoga) everywhere..now they want to bring it into Africa to spoil the whole humanity! we should shun such issues and make sure tz is awy from such dirtyness..jewish conspiracy to wipe off christian vlues when u see the priests are all homos -gays- now time is coming whentz must act and ttem NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
 
Imebidi nirudi kwenye mada hii pamoja na kwamba nilishahitimisha kwa upande wangu lakini nimefanya hivi ili kuweka wazi kile ambacho mwanzoni nilikisema na na wadau wengine pia walikisema. Suala hili lililonihuzunisha ambalo nililolisoma kwenye gazeti la Nipashe la tarehe 6 October, 2009. Suala hili lilihusu houseboy mmoja aliyekuwa anamuingilia/anamlawiti mtoto wa bosi wake wa kiume.

Kwa mujibu wa mwandishi Hamisi Kibari houseboy huyu alikuwa amepewa majukumu ya kumuhudumia mtoto huyu wa bosi wake kwa kumpeleka shule pamoja na kuwa naye nyumbani wakati wazazi wake wakiwa kazini. Pamoja na kazi nyingine kijana huyu alkuwa anamuogesha huyu mtoto. Sasa katika kumuogesha uko akaanza kumfanyia UNYAMA huu wa kutisha sana kwa kumlawiti uku akimtisha huyu mtoto mdogo kwa vitisho vingi. Na kwakuwa muda mrefu huyu houseboy ndie alikuwa anakaa na mtoto huyu mara nyingine wazazi walimkuta mtoto keshalala na wakiulizia maendeleo ya mtoto walikuwa wakiambiwa na houseboy huyu kuwa mtoto yuko okey hana problem. Na ikumbukwe kuwa wazazi wa mtoto huyu walikuwa na imani kubwa sana kwa houseboy huyu kwa kuwa alikuwa ndie anampleka shule na kwenda kumchukua kwenye basi mchana.

Kwahiyo huyu kijana akawa ndie anafanya kazi zote za ndani na ikawa kila siku anamuogesha huyu mtoto kitu ambacho kiliwapa moyo hawa wazazi kuwa kijana huyu anafahamu kazi yake ipasavyo kumbe alikuwa fisi mla watu. Kadri siku zilivyokwenda ndivyo yule mtoto alivyokuwa anaharibikiwa sehemu za nyuma na kuanza kutoa HAJA KUBWA pasipo kujitambua. Huyu houseboy alivyogundua akaanza kumwekea pamba kwenye ****** ili haja kubwa isiwe inaonekana na kuchafua nguo anapokwenda shule na muda anapokuwa na wazazi wake. Just imagine mtoto wako anajazwa MAPAMBA kwenye ****** ili haja kubwa inayotoka bila breki isionekane JESUS CHRIST MY LORD.

Sasa kilichosababisha kugundulika kwa unyama huu ilikuwa ni siku ambayo ilikuwa ni weekend na huyu kijana alikuwa bado hajamuogesha huyu mvulana na ilibid aende kumpokea mgeni wa bosi wake stendi kabla hajamuogesha huyu mvulana. Hoseboy huyu aligoma kabisa kwenda kumpokea mgeni yule kwa madai kuwa mpaka amuogeshe mtoto yule jambo lilipingwa sana na mabosi wake kwa nguvu zote. Lakini kutokana na kuwa mabosi wana nguvu yule houseboy ilibidi aende shingo upande.

Sasa Mama Mzazi wa yule mtoto alipotaka kumuogesha yule mtoto alikataa katakata hali iliyomshtua Mama mtu na kumuita Baba mtoto (mumewe) ili yeye amuogeshe lakini bado yule mtoto alikataa mpaka alipotishiwa kuchapwa. Sasa kwenda bafuni na kuanza kumuogesha yule mtoto ndipo Baba mtoto alipopata mshtuko wa milele pale alipokuta mwanae amejazwa MAPAMBA matakoni. Na alipodadisi kwa undani ndio akapewa story nzima. Kijana alikamatwa yuko polisi lakini ndio hivyo mtoto keshaharibika kwa kiwango kikubwa.

Lengo langu la kuweka makala hii hapa ni kujaribu kuonyesha yale ambayo niliyasema na pia kusemwa na wadau wa jamvi hapa kuhusu kuharibiwa kwa watoto wetu wa kiume pamoja na wadogo zetu wa kiume jambo ambalo linawapelekea kuwa na tabia za ajabu ikiwa ni pamoja na tabia za kishoga hapo baadae baada ya kuizoea hali hii ya kinyama.

MUNGU ATUSAMEHE NA ZAIDI ATULINDE NA KUWALINDA WATOTO NA WADOGO WETU WA KIKE NA WA KIUME WAKUE CHINI YA ULINZI WAKE WA KIMUNGU. AMEN
 
Lakini pia ikumbukwe kuwa si wavulana tu wanahoharibiwa bali pia watoto wa kike nao wamekuwa waathirika wakubwa wa vitendo hivi ambavyo vinafanywa na watu wazima wenye akili ambao ni ndugu wa karibu au wafanyakazi wa ndani wa familia hizi.
Kimsingi ONYO kubwa ni kwetu sis walezi na ndugu ambao tuna wadogo wetu ambao tumejua haya matendo machafu na ya kisodoma na kigomora kuwa makini na malezi ya watoto na wadogo zetu vingnevyo tutakuja kuwa na kizazi cha ajabu sana miaka michache ijayo. Kuna masuala ya muhimu sana ya kufanya kwa mzazi au mlezi yeyote ili kumkinga mtoto wake na mahayawani hawa:-

1. Tuhakikishe kwa watoto wetu hawalali na wageni wanaokuja kututembelea majumbani mwetu kutokana na uhaba wa vyumba.

2. Tuhakikishe kuwa watoto wetu wanapokwenda na kurudi nyumbani kutoka shule tunajaribu kuangalia maendeleo yao kiafya na kielimu pia

3. Tuhakikishe kuwa tunaangaalia marafiki wa watoto wetu tabia zao na za wazazi wao kwani kuna watoto wengine ambao wanaiga tabia chafu kutoka kwa wazazii wao ambao wamepoteza mwelekeo wa maisha kwahiyo wanaweza kuwa wanakuja kujaribu madhambi hayo wakiwa na watoto wetu.

4. Tuhakikishe kuwa kuna uangalizi binafsi wa watoto wetu mbali na ule wanaopewa na ma-housegirl na ma-houseboy kwani kuna wakati sisi wazazi na walezi tunayasahau majukumu yetu kwa hawa wafanyakazi kwa kisingizio cha kazi, harusi, sendoff, kitchen parties na nyingine nyingi.

5. Tuwape watoto wetu muda wa kuongea nao kila jioni na weekends tuache tabia ya kukuta watoto wamelala kila siku na kuridhika na tabia hiyo kwani ina madhara makubwa kama yaliyomkuta mtoto huyu wa kiume.

6. Tuwaombee watoto wetu kwa MUNGU ili awalinde wanapokuwa mashuleni, kwenye vyombo vya usafiri, wakiwa nyumbani na hawa wafanyakzi wa ndani (houseboys na housegirls) kwani kwa akili zetu na nguvu zetu za kimwili pekee hatutaweza jamani.
 
Omg!sipo hii story yako imenisisimua sana how could a person do such a thing to an innocent kid jamani!...yaani nimesoma alafu natetemeka kabisa kwa unyama wa huyu kijana yaani inabidi tuu asulubiwe na ikiwezekana anyngwe ni mnyama kabisa....ooh my god mtoto wa watu!.....yaani kweli alishindwa kwenda huko nje na kutongoza wanawake na kuanza kumuingilia mtoto mdogo jamani uwiiii! tate naneeeh!.....navalonge swela....Inauma sana inauma sana tuu!....angekuwa mtoto wangu i think ningezimia....
 
Omg!sipo hii story yako imenisisimua sana how could a person do such a thing to an innocent kid jamani!...yaani nimesoma alafu natetemeka kabisa kwa unyama wa huyu kijana yaani inabidi tuu asulubiwe na ikiwezekana anyngwe ni mnyama kabisa....ooh my god mtoto wa watu!.....yaani kweli alishindwa kwenda huko nje na kutongoza wanawake na kuanza kumuingilia mtoto mdogo jamani uwiiii! tate naneeeh!.....navalonge swela....Inauma sana inauma sana tuu!....angekuwa mtoto wangu i think ningezimia....
Ni jambo la kusikitisha sana Kelly01 lakini ndio mambo ambayo yanatokea kwenye jamii yetu sasa hivi kwa kiasi kikubwa. Kuna baadhi ya tafiti zinasema kutokana na watu kuogopa UKIMWI sasa ndio wameanza kufanya UNYAMA huu ili kujiridhisha tamaa zao za kishetani. Kusema kweli hukumu ambayo mimi ningefikiri inamstahili huyu kijana ni kusulubiwa hadharani tu vinginevyo jamani watoto wetu wataharibiwa kwa kiwango kikubwa sana na MAJUTO NI MJUKUU huwa hayasaidii hata kidogo
 
Ni jambo la kusikitisha sana Kelly01 lakini ndio mambo ambayo yanatokea kwenye jamii yetu sasa hivi kwa kiasi kikubwa. Kuna baadhi ya tafiti zinasema kutokana na watu kuogopa UKIMWI sasa ndio wameanza kufanya UNYAMA huu ili kujiridhisha tamaa zao za kishetani. Kusema kweli hukumu ambayo mimi ningefikiri inamstahili huyu kijana ni kusulubiwa hadharani tu vinginevyo jamani watoto wetu wataharibiwa kwa kiwango kikubwa sana na MAJUTO NI MJUKUU huwa hayasaidii hata kidogo


Sipo how old is the kid?....yaani hata kama mtu unataka unaogopa Ukimwi ndiyo kuanza kufanyia unyama watoto wasiokuwa na hatiya?..si kuna product za aina nyingi tuu (dildo) za kutumia jamani kwa nini aitafute hizo zipo za kike na kiume these days kuliko kumuharibu mtoto mdogo huyu....Na alaaniwe kabisa huyu evil son of the gun....Ni kweli tena na asulubiwe hadharani kabisa.....hii stoy imenichanganya akili kabisa....i love kids and i hate when people do such evil thigns to them.....uuuuuuugh!@.....why him?.....
 
Sipo how old is the kid?....yaani hata kama mtu unataka unaogopa Ukimwi ndiyo kuanza kufanyia unyama watoto wasiokuwa na hatiya?..si kuna product za aina nyingi tuu (dildo) za kutumia jamani kwa nini aitafute hizo zipo za kike na kiume these days kuliko kumuharibu mtoto mdogo huyu....Na alaaniwe kabisa huyu evil son of the gun....Ni kweli tena na asulubiwe hadharani kabisa.....hii stoy imenichanganya akili kabisa....i love kids and i hate when people do such evil thigns to them.....uuuuuuugh!@.....why him?.....
Kelly01 hawajatoa umri wake lakini ni below standard four, just imagine ni mtoto mdogo sana. Dada Kelly dunia hii kuna watu na MIJITU X 2 na huyu houseboy ni mmojawapo ya majitu. He doesnt deserve hata kukaa uko kituo cha polisi, unajua nimeona sasa tunalea mardhi mabaya sana kwenye familia na nchi yetu. I think this stupid houseboy doesnt deserve to live ni more than shetani wa jehanamu ya kipindi cha sodoma na gomora
 
Damn......i don't know what to say!
Mtu kama huyu sijui afanywe nini, yaani nimesisimka.
 
Jamani mimi ni mwanaume lakini huwa nasononeka sana ninapoona, kusikia na kushuhudia mambo haya. Kwanini tunawakosea hawa malaika wa MUNGU na kumkosea MUNGU mwenyewe jamani?
Oooh! Jesus Christ forgive us
 
Damn......i don't know what to say!
Mtu kama huyu sijui afanywe nini, yaani nimesisimka.
YE ni kweli in the first place mtu unakosa cha kusema kwasababu ni jambo la kuhuzunisha sana. Mimi nafikiri ile sheria ya masuala ya ubakaji inabidi itumike effectivelly kwa watu wa aina hii. Its shame to Tanzania kabisa
 
Unajua ndio maana watu huwa wanachukua sheria mikononi mwao wanapokutana na mashetani kama hawa kwasababu hawahitaji hata kushtakiwa na kufungwa kwenye magereza yenye binadamu wengine. Mimi sio kwamba nasapoti watu kuchukua sheria mkononi lakini situations kama hizi zinaboa jamani
 
Kelly01 hawajatoa umri wake lakini ni below standard four, just imagine ni mtoto mdogo sana. Dada Kelly dunia hii kuna watu na MIJITU X 2 na huyu houseboy ni mmojawapo ya majitu. He doesnt deserve hata kukaa uko kituo cha polisi, unajua nimeona sasa tunalea mardhi mabaya sana kwenye familia na nchi yetu. I think this stupid houseboy doesnt deserve to live ni more than shetani wa jehanamu ya kipindi cha sodoma na gomora


I hear you Sipo!....i wonder why watu wanawez akukaa na kumtamani mtoto mdogo kiasi hicho?....najua suala la mtu kuwa gay could be maumbile yake/genetic au wengine ndiyo kama hivyo wana turn kuwa gay kutokana ma mazingira waliyolelewa au kulawitiwa.....na hili suala la huyu mtoto sijui hata litakuwaje tena ndiyo keshaharibiwa tayari kuna mawili either atakuja turn kuwa gay au -------wow never mind....


YE!....Jirani wee acha tuu hii story ipo very touching!....
 
Mbaroni kwa kumlawiti mjukuu wake
Mkazi wa Mbande Mbagala Bw. Silima anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mjukuu wake mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Mbande na kumsababishia madhara. Babu huyo ambaye ni muumini mkubwa wa dini alikuwa na tabia ya kumlawiti mjukuu wake huyo baada ya kufanikiwa kumchukua kwa Mama yake anayeishi Kitunda, Dsm
Kabla ya kukamatwa, Babu huyo alimwingilia mjukuu wake bila kujua kuwa nyendo zake zilikuwa zinafuatiliwa kwa karibu baada ya wasamaria wema kupata habari hizo kutoka kwa mtoto huyo aliyewasimulia majirani baada ya kushindwa kuvumilia maumivu aliyokuwa anayapata wakati na baada ya kuingiliwa na Babu yake huyo fedhuli.
Baada ya kupelekwa hospitali ya Temeke mtoto huyo aligunduliwa kuharibiwa vibaya sana sehemu za haja kubwa na kulikuwa na mbegu za kiume.
Chanzo: Majira 13th October, 2009
Jamani ndiyo yale yale ambayo yanaharibu watoto wetu na kuwafanya kuwa na tabi za kiuwendawazimu baadae kwenye utu uzima wao. TUKEMEE MAMBO HAYA KWA NAFASI ZETU
 
Hii topic imepitwa na wakati wanaotupa hela wenyewe wamehalalisha kitendo hicho sembuse wewe. naona tu tunapoteza nguvu nyingi. Wenye familia zao tufanye maombie hayo mambo yasituaffect wale ambao tayari basi tena si riziki waombee waache.

ni ngumu, wasagaji ni watu mnao admire hapa mjini, wanafanya fyongo mnaona hamsemi. Dah! we need prayers.
 
Hii topic imepitwa na wakati wanaotupa hela wenyewe wamehalalisha kitendo hicho sembuse wewe. naona tu tunapoteza nguvu nyingi. Wenye familia zao tufanye maombie hayo mambo yasituaffect wale ambao tayari basi tena si riziki waombee waache.ni ngumu, wasagaji ni watu mnao admire hapa mjini, wanafanya fyongo mnaona hamsemi. Dah! we need prayers.
Na wewe? Unamaanisha nini?=blue
Tusipotumia akili na muda wetu kuna ambacho kitafanikiwa?=red
Hapa ndio umenena lililo jema=black
Bado tunaweza kufanya jambo la tofauti husiwe kama FISI
 
kwa hiyo huyo jamaa hata akienda kwa washauri nasaha hawezi kurudia hali yake ya kawaida ????
duh
 
Back
Top Bottom