Mashoga na wasagaji ndani ya tansoma hotel

Ahhh well kuwachukia hakuongezi wala kupunguza chochote.Wapo na wataendelea kuwepo kwahiyo waacheni tu wajitetee....hata waaAfrika walivyokaa vikundi kupanga jinsi ya kujikomboa na kutafuta haki zao dhidi ya mkoloni wazungu waliwabeza na hawakufurahia.
Unamaana ni jambo zuri hilo? maana kudai uhuru juu ya wakoloni lilikuwa nijambo jema. so na hawa pia ni jambo jema?? liz liz liz liz ebu muogope mungu japo kidogo duuu. ivi umeolewa au una mtoto? twapasa kumuomba mungu atuepushie mbali majinamizi kama haya na vizazi vye2.
 
Gays and lesboz ni ma attention seekers tu, haki gani wanayoitaka wao? Insecurities zao ndo watuhusishe na siye? Kama mtu ameamua kuishi life style hiyo aishi tu, sio kuanza kudai haki, kila mtu akianza kudai haki kwa mambo ya chumbani si itakuwa issue!
 
Unamaana ni jambo zuri hilo? maana kudai uhuru juu ya wakoloni lilikuwa nijambo jema. so na hawa pia ni jambo jema?? liz liz liz liz ebu muogope mungu japo kidogo duuu. ivi umeolewa au una mtoto? twapasa kumuomba mungu atuepushie mbali majinamizi kama haya na vizazi vye2.
Sijasema ni kitu kizuri bwana...wala sitamani ntu wa karibu yangu awe hivyo achilia mbali mtoto wa kumzaa.Ila nnachojaribu kusema ni kwamba kama wanaoziona hizo haki acha wazitafute....pamoja na kwamba wengi hawawasupport bado wapo na hawataisha au acha tabia zao.
 
Jamii ikishaacha kufuata misingi ya maadili yake...........maana yake imekaribisha misingi na maadili ya jamii nyingine..............

Ushoga na usagaji vimekaribishwa na uvunjifu wa maadili yetu sisi kama waafrika/watanzania...........tulishaharibu kuanzia mbali sana na kurudi huko tulikotoka....................hakika ni ngumu...................

Sijui muhusika na hili ni yupi(kitaifa)......lakini nafikiri too much demokrasi si nzuri..........na hivi sheria za nchi zinazungumziaje hili?
 
Mh hao watu nao wanataka kuzusha scandal nchini! Au wanataka nchi iwatambue wawe na wawakilishi bungeni! Loh! Khasara tupu!
 
Samahani sana Mkuu; naomba ukubali kunisamehe SMART1; nilikuwa najaribu kukutibua nijue umefahamu vipi hizi habari za hawa punguwani Pole kama nimekukwaza.

hahaha arafat kumbe mikwara unaiogopa eeehhh? Mie najiandaa kwenda na Police pale Tansoma maana the owner ni Mla wanaume...
 
Sijasema ni kitu kizuri bwana...wala sitamani ntu wa karibu yangu awe hivyo achilia mbali mtoto wa kumzaa.Ila nnachojaribu kusema ni kwamba kama wanaoziona hizo haki acha wazitafute....pamoja na kwamba wengi hawawasupport bado wapo na hawataisha au acha tabia zao.
Ohk hapo nimekupata tupo pamoja
 
We huna akili hata kidogo tena ungeongea haya maneno mbele yangu ungekula makofi,na mitama kisha ningekusindikiza na makohozi...naongea na wewe lizzy
 
We huna akili hata kidogo tena ungeongea haya maneno mbele yangu ungekula makofi,na mitama kisha ningekusindikiza na makohozi...naongea na wewe lizzy
Usiwe mkali ndugu mrekebishe mwenze2 ndio wa2 2navyo ishi sio wote tunafikiri mbali sana
 
Maisha bwana,ni raha na karaha,kikikosekana kimoja maisha yanakosa maana!
 
Hao Tansoma si ndio wale wanaotuchezea akili wale wasomali wa paradise bagamoyo!!wamechoma hoteli wakadhani watalipwa kirahisi weee ngoma imegoma hadi sasa!!!amekimbia amekuja kukodi majengo mapya kufungua hizo tansoma
 
That's inaanza polepole lakini itaweza kwenda pabaya. Kwa hili bora haki za binadamu zivunjwe kuliko kukubali!!
 
Hao watu wanakera sana tena wanatia aibu sana. Huyo aliyewapa ukumbi alaaniwe maana inaonekana anapendelea hayo mambo.
 
Muda wakumiliki bastola ndo huu. Maana ukimuondoa shoga/msagaji mmoja juu ya uso wa mbingu na ardhi malaika watarukaruka na kufanya sherehe heaven. Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom