Mashoga Kuwa Mapadri Uingereza

Naomba kuuliza: hivi Kanisa la Anglikana nalo lina mapadre (priests), ambao huwa tunaona kifupi chake ni mfano Fr MCDonald Williams au tunatumia neno mapdre tu kama tunavyotaka? Naona mnieleweshe wanaJF wenzangu.
Mkuu, wanao kama huyu,Rev Gene Robinson, wa Uingereza nae ni Shoga pia
 
Mkristo wa kweli Kadinali Ratzinger (sasa ni Papa Benedict wa 16) Tarehe 1Oktoba 1986 Kadinali Ratzinger (sasa ni Papa Benedict wa 16), alitoa mwongozo wa Kanisa Katoliki juu ya watu wanaovutiwa na jinsia zao (homosexuality). Mwongozo huu ilikuwa ni barua aliyowaandikia Maaskofu wote wa Kanisa Katoliki:"ON THE PASTORAL CARE OF HOMOSEXUALS". Katika barua hii Kadinali Ratzinger, aliwakumbusha maaskofu juu ya mwongozo mwingine kuhusu swala hili hili uliotolewa Desemba 1975: " Declaration of Certain Questions Concerning Sexual Ethics" uliosisitiza kwamba hali ya mtu kuvutiwa na jinsia yake ifanyiwe utafiti na ichukuliwe kwa uangalifu na busara.Katika barua hiyo Kadinali Ratzinger, aliwashauri maaskofu kwamba hali ya mtu kuvutiwa na jinsia yake inahitaji wachungaji (mapadri) wenye kufanya utafiti kwa uangalifu mkubwa, wenye kujali, wa kweli na wenye theolojia isiyokuwa ya msimamo mkali.Ingawa Kadinali Ratzinger, anapinga hali hii na kuiona kama hali Fulani ya ugonjwa na kufanya mambo kinyume na maumbile, anashauri watu wenye matatizo ya kuvutiwa na jinsia zao wasitengwe. Wapatiwe huduma za kiroho, washauriwe na kuvumiliwa hadi pale watakapobadilika.Tatizo linalojitokeza kwenye barua hii ni kwamba Kadinali Ratzinger, anapinga hali hii kwa kutumia biblia. Msingi mkubwa wa hoja yake ni Biblia. Mfano anatumia kitabu cha mwanzo ambacho kinaelezea kwamba Mungu, aliwaumba Mwanamke na Mwanaume. Pia katika agano jipya anatoa mifano ya Mtakatifu Paulo anapolaani vitendo vya kulawiti na kufira. Kimsingi ameqoute aya inayochanganya dhambi ya kufira na dhambi ndogo ndogo ili kuamsha mjadala na kusimamia utetezi wake kwa mapadri wafiraji wa kanisa la Roma.Letter to the Bishops of the Catholic Church on the Pastoral Care of Homosexual Persons
.Mapadri ni wanaume, sasa aya inazungumzia wafiraji na vipi kuhusu wafirwaji.Naomba tujaribu pia kupata neno linalotumika kutofautisha kati ya mwanamme kumwingilia mwanamke kinyume cha maumbile hata kama wana ndoa ya halali na yule mwanamme nanaemwingilia mwanamme mwenzake. Ubasha nao ni maumbile ya mhusika ama ni ugonjwa wa tabia? (dhambi)?..
 
Sasa ikiwa Kadinali Ratzinger (sasa ni Papa Benedict wa 16) na kanisa la kilutheri vinatetea haya mambo ya ushoga nyie waumini mnalionaje hiliswala? nini mfanye ili kurudi kwenye maandiko na mafundisho ya Yesu?
.Hakuna waumini wanaloweza kufanya zaidi ya kutia nanga yetu ya imani kwa Yesu, na kufnga dirisha na mlango kwa yeyote yule. Kwa wakristo hakuna aliyelipa deni la wokovu wetu ila Yesu kwa damu yake. Na wala hakuna wa kushirikiana nae kulingana na kitabu cha ufunuo sura ya tano. Hakuna nabii,mtume,mchungaji, m/listi wala nani aliyethubutu sii tu kuifanya. hiyo kazi ya kuukomboa uumbaji, bali hata kuitizama hiyo kazi hakuonekana. Sasa cha ajabu ni watu kuweka tumaini lao kwa watu walio daraja moja nao katika uhitaji wa kukombolewa..
 
What does the Bible says? Let us get tangible and impeccable exibits from the Bible.

Lev 18:22-23 "You shall not lie with a male as one lies with a female; it is an abomination."

Lev 20:13 "If there is a man who lies with a male as those who lie with a woman, both of them have committed a detestable act; they shall surely be put to death.

1 Cor 6:9 "Or do you not know that the unrighteous shall not inherit the kingdom of God? Do not be deceived; neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor effeminate, nor homosexuals"

1 Tim 1:9-10 "realizing the fact that (civil) law is not made for a righteous man, but for those who are lawless and rebellious, for the ungodly and sinners, for the unholy and profane, for those who kill their fathers or mothers, for murderers and immoral men and homosexuals and kidnappers and liars and perjurers"

Rom 1:26-27 "For this reason God gave them over to degrading passions; for their women exchanged the natural function for that which is unnatural, and in the same way also the men abandoned the natural function of the woman and burned in their desire toward one another, men with men committing indecent acts and receiving in their own persons the due penalty of their error."

If the homosexual community chooses to practice homosexuality in privacy or openly, that is there free choice. But let such persons know for certain that the Christian Bible condemns all such practices and God will judge them unfit for the kingdom of heaven if the continue to practice and openly and/or secretly promote homosexual sex.

Its me The Bondservant of Jesus Christ and a Friend of God
 
What does the Bible says? Let us get tangible and impeccable exibits from the Bible. Lev 18:22-23 "You shall not lie with a male as one lies with a female; it is an abomination." Lev 20:13 "If there is a man who lies with a male as those who lie with a woman, both of them have committed a detestable act; they shall surely be put to death. 1 Cor 6:9 "Or do you not know that the unrighteous shall not inherit the kingdom of God? Do not be deceived; neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor effeminate, nor homosexuals" 1 Tim 1:9-10 "realizing the fact that (civil) law is not made for a righteous man, but for those who are lawless and rebellious, for the ungodly and sinners, for the unholy and profane, for those who kill their fathers or mothers, for murderers and immoral men and homosexuals and kidnappers and liars and perjurers" Rom 1:26-27 "For this reason God gave them over to degrading passions; for their women exchanged the natural function for that which is unnatural, and in the same way also the men abandoned the natural function of the woman and burned in their desire toward one another, men with men committing indecent acts and receiving in their own persons the due penalty of their error." If the homosexual community chooses to practice homosexuality in privacy or openly, that is there free choice. But let such persons know for certain that the Christian Bible condemns all such practices and God will judge them unfit for the kingdom of heaven if the continue to practice and openly and/or secretly promote homosexual sex.Its me The Bondservant of Jesus Christ and a Friend of God
.Mwenye sikio na asikie neno hili kwamba ni Roho wa neno la Mungu, asema hivi!! Mkaidi na azidi kushupaza shingo yake kwa ukaidi wake wa kuhoji maandiko.
 
Come to righteousness:

Forgiveness and a Vast Reward for Men and Women
Qur'an 33:35
Lo! men who surrender unto Allah, and women who surrender,
And men who believe and women who believe,
And men who obey and women who obey,
And men who speak the truth and women who speak the truth,
And men who persevere (in righteousness) and women who persevere,
And men who are humble and women who are humble,
And men who give alms and women who give alms,
And men who fast and women who fast,
And men who guard their modesty and women who guard (their modesty),
And men who remember Allah much and women who remember--
Allah hath prepared for them forgiveness and a vast reward.
 
Come to righteousness:
Forgiveness and a Vast Reward for Men and Women
Qur'an 33:35Lo! men who surrender unto Allah, and women who surrender,And men who believe and women who believe,And men who obey and women who obey,And men who speak the truth and women who speak the truth,And men who persevere (in righteousness) and women who persevere,And men who are humble and women who are humble,And men who give alms and women who give alms,And men who fast and women who fast,And men who guard their modesty and women who guard (their modesty),And men who remember Allah much and women who remember--Allah hath prepared for them forgiveness and a vast reward.​
.Vipi kuhusu mme mmoja kumiliki kundi la wake? Na mke nae amiliki kundi la waume? Na je mwanamume atakaeshinda kuahidiwa bikira mrembo huko peponi, mwanamke atakaeshinda yeye kaahidiwa nini?.
 
Jumuiya makanisa ya Anglikana, Uingereza inatarajiwa kutangaza rasmi kuwa wanaume waliojitangaza wazi kuwa wao ni mashoga wataruhusiwa kuwa mapadri iwapo watatimiza sharti la kujizuia kufanya ngono
[/LEFT]



hii habari umeitoa wapi (source, ni gazeti gani kwa hapa tz?) mapadre wapo jamii za wakatoliki tu.. hao anglikan viongozi wao sio mapadre ni wachungaji/askofu, ni sawa nakusema "mchungaji wa msikiti wa kariakoo"
 
hii habari umeitoa wapi (source, ni gazeti gani kwa hapa tz?) mapadre wapo jamii za wakatoliki tu.. hao anglikan viongozi wao sio mapadre ni wachungaji/askofu, ni sawa nakusema "mchungaji wa msikiti wa kariakoo"
Mkuu. wewe unachopinga ni nini? Unapinga Kuwa mashoga au unapinga hii habari sio ya kweli?
 
.Vipi kuhusu mme mmoja kumiliki kundi la wake? Na mke nae amiliki kundi la waume? Na je mwanamume atakaeshinda kuahidiwa bikira mrembo huko peponi, mwanamke atakaeshinda yeye kaahidiwa nini?.
Yesu akajibu, akawaambia, mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu. Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni. Mathayo 22:29-30.
 
Yesu akajibu, akawaambia, mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu. Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni. Mathayo 22:29-30.
.Huu ni ushahidi tosha kuwa pepo aliyoizungumzia Bwana Yesu imeachana mbali kama mashariki ilivyo kwa magharibi, na pepo aliyoizungumzia Muhamed..
 
New York governor signs law
approving gay marriage
(Reuters)
Sat Jun 25th, 2011 12:55
AM EDT
ALBANY, New York
(Reuters) - Governor Andrew
Cuomo made same-sex
marriages legal in New York
on Friday, a key victory for
gay rights ahead of the 2012
presidential and congressional
elections.
New York will become the
sixth and most populous U.S.
state to allow gay marriage.
State senators voted 33-29
on Friday evening to approve
marriage equality legislation
and Cuomo, a Democrat who
had introduced the measure,
signed it into law.
"This vote today will send a
message across the country.
This is the way to go, the
time to do it is now, and it is
achievable; it's no longer a
dream or an aspiration. I
think you're going to see a
rapid evolution," Cuomo, who
is in his first year of office,
told a news conference.
"We reached a new level of
social justice," he said.
Same-sex weddings can start
taking place in New York in
30 days, though religious
institutions and nonprofit
groups with religious
affiliations will not be
compelled to officiate at such
ceremonies. The legislation
also gives gay couples the
right to divorce.
 
hii habari umeitoa wapi (source, ni gazeti gani kwa hapa tz?) mapadre wapo jamii za wakatoliki tu.. hao anglikan viongozi wao sio mapadre ni wachungaji/askofu, ni sawa nakusema "mchungaji wa msikiti wa kariakoo"
New York governor signs lawapproving gay marriage(Reuters)Sat Jun 25th, 2011 12:55AM EDTALBANY, New York(Reuters) - Governor AndrewCuomo made same-sexmarriages legal in New Yorkon Friday, a key victory forgay rights ahead of the 2012presidential and congressionalelections.New York will become thesixth and most populous U.S.state to allow gay marriage.State senators voted 33-29on Friday evening to approvemarriage equality legislationand Cuomo, a Democrat whohad introduced the measure,signed it into law."This vote today will send amessage across the country.This is the way to go, thetime to do it is now, and it isachievable; it's no longer adream or an aspiration. Ithink you're going to see arapid evolution," Cuomo, whois in his first year of office,told a news conference."We reached a new level ofsocial justice," he said.Same-sex weddings can starttaking place in New York in30 days, though religiousinstitutions and nonprofitgroups with religiousaffiliations will not becompelled to officiate at suchceremonies. The legislationalso gives gay couples theright to divorce.
 
.Huu ni ushahidi tosha kuwa pepo aliyoizungumzia Bwana Yesu imeachana mbali kama mashariki ilivyo kwa magharibi, na pepo aliyoizungumzia Muhamed..
Kweli, pepo anayoizungumzia Mtume Muhammad S. A. W. wanume watapewa thawabu za kidunia hasa mabikra wazuri? wa aina zote?. Warefu na wafupi?, wanene na wembamba?, weusi na weupe?, walakini mbinguni hawaoi wanaishi kama malaika.
 
Back
Top Bottom