Mashinji ndani ya kipindi cha mada motomoto leo

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,975
6,448
Kwa taarifa iliyotolewa leo asubuhi na mtangazaji wa kituo cha chanel ten ni kwamba katibu mkuu wa chadema atakuwa live leo ijumaa tarehe 29/07/2016 kwenye kipibdi cha mada motomoto akifafanua dhana nzima ya ukuta.

Stay tuned...mada itaanza saa 4:00 usiku
 
Tumekupata Mzee wa jina KUBWA!
 
Watu wakisikia CHADEMA, wanakosa raha kabisa, wanapenda kusikia TLP, CHAUSTA, UDP, PPT Maendeleo.
 
Back
Top Bottom