TRA wanatulazimisha tununue mashine za VAT kwa watu wao kwa bei mara 6 ya bei halisi ya bei mashine hizo. Kwa mfano Wakala wake anauza mashine ya DP-50 kwa shs 1,600,000. Hii mashine nimeifuatilia kwenye mtandao inauzwa Lei 560, hizi ni sawa na Euro 137 au shs 280,000 za ki- Tanzania. Sijaona kwenye mtandao ambako hii machine inauza zaidi ya euro 200 yaani shs 400,000. Hivi TRA wana maana gani kulazimisha watu wanunue hizi mashine kwa 1,600,000. Ushahidi wa bei niliyo taja upo hapa
http://www.aparaturafiscala.ro/design/pdf/Cash%20registers.pdf. Wana JF wataniuliza kwanini hii issue sikuipeleka kwenye biashara? Nikwa sababu huu ni ufisadi na ufisadi ni siasa zinazo ingilia biashara. TRA mnatupeleka wapi?:redfaces: