Mashine za kutotolea vifaranga vya kuku

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
522
240
Habari zenu watu wa Mungu mnaotamani kujikwamua kwa kufanya kazi badala ya kujitajirisha kwa kutumia ufisadi! Mashine za kutotoa vifaranga zinapatikana Iringa 0753903809
 
Ahsante boss tutakutafuta maana umasikini huu ni balaa.

Ila tunaomba specifications za hizo mashine (Umeme, mafuta ya taa au nishati ipi zinatumia), za aina gani na uwezo wake ni upi? na je zimetengenezwa TAnzania au la?
 
Pia weka na bei kabisa. Watu tujipime uwezo wetu kabla hatujapiga simu
 
Habari zenu watu wa Mungu mnaotamani kujikwamua kwa kufanya kazi badala ya kujitajirisha kwa kutumia ufisadi! Mashine za kutotoa vifaranga zinapatikana Iringa 0753903809

Mkuu heshima yako.
Ingekuwa vyema, ungeweka specifications za hizo machines/capacity, bei zake na hata picha ili iwe rahisi kumfanya mteja kuvutiwa, kufanya maamuzi na kupunguza maswali. Pia, tujifunze kuwa na utamaduni wa kuvutia wateja kwenye bidhaa zetu, kwa ulichofanya wewe, just ku-post "kuna mashine ya kutotolea vifaranga vya kuku", kunaacha mashwali mengi sana, tujalibu kubadilika.
 
Mkuu kuwa mwazi na biashara yako coz biashara bila kutaja specification ni kama kuuza mbuzi kwenye gunia.
 
Mashine nyingi zinazo tengenezwa local ni pasua kichwa, unakuta mtu kavumbua mashine yake wiki iliyo pita leo anaanza kutengeneza za kuuza matokeo yake mtumiaji anaenda kula hasara,
Anaye taka acheki na hawa jamaa wa huko Kenya wanazo nzuri sana

Thank you for your email. We have incubators as listed below:

1) 48 eggs @ 19,900 domestic series
2) 88 eggs @ 59,000 professional series
3) 265 eggs @ 89,000 professional series
4) 440 eggs @ 119,000 professional series

All prices in kenya shillings and all incubators single phase electric powered and automatic operation

emaili yao ni sales@marinakenya.com
 
MIMI NALETA MASHINE KWA ORDER NINAMASHINE ZA UKUBWA WOWOTE UNAOUTAKA NA BEI ZANGU NI NZURI SANA.
KWA MAYAI
528 EGGS = 880USD MPAKA UNAIPOKEA DAR
880EGGS = 1000USD
1056 EGGS = 1200USD

KARIBUNI EMAIL YANGU NI honestaugustine@yahoo.com
 
Mashine nyingi zinazo tengenezwa local ni pasua kichwa, unakuta mtu kavumbua mashine yake wiki iliyo pita leo anaanza kutengeneza za kuuza matokeo yake mtumiaji anaenda kula hasara,
Anaye taka acheki na hawa jamaa wa huko Kenya wanazo nzuri sana

Thank you for your email. We have incubators as listed below:

1) 48 eggs @ 19,900 domestic series
2) 88 eggs @ 59,000 professional series
3) 265 eggs @ 89,000 professional series
4) 440 eggs @ 119,000 professional series

All prices in kenya shillings and all incubators single phase electric powered and automatic operation

emaili yao ni sales@marinakenya.com
ndugu umewahi kutumia mashine inayotengenezwa na hao jamaa?
 
Back
Top Bottom