mashine yakufyatua matofali ya kawaida siyo ya umeme

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748

nahitaji mashine yakufyatulia matofali mpy au used sawa tu ilhali iwe kwenye hali nzuri nahitaji sana,sio ya umeme.
mwenye nayo PM tu au weka na bei na ikiwwezekana picha nitafurahi sana ,nahitaj weekend hii ianze kazi sawa!!
nawakilisha wakuu
 
Mbona ni cheap sana,haizidi laki na ishirini(120,000/=) Nenda Mbagala mwisho zipo za kukinga!!
 
Mbona ni cheap sana,haizidi laki na ishirini(120,000/=) Nenda Mbagala mwisho zipo za kukinga!!
Kaka unayosema ni ya ukweli?kwa sababu pale Mwenge mwisho kama unaenda Lugalo Jeshini kuna jamaa wanatengeneza hizo mashine mimi nlipita hapo mwanzoni mwa mwaka huu hiyo mashine walisema inauzwa 400,000.
Kama upo Dar pitia hapo Mwenge uulize
 
kama upo barabara ya morogoro dsm ninayo naweza kukukodishia ukafanyia kazi wakati unajipanga kununua ya kwako mkuu.
 
nahitaji mashine yakufyatulia matofali mpy au used sawa tu ilhali iwe kwenye hali nzuri nahitaji sana,sio ya umeme.
mwenye nayo PM tu au weka na bei na ikiwwezekana picha nitafurahi sana ,nahitaj weekend hii ianze kazi sawa!!
nawakilisha wakuu

Ninazo mbili nauza 100,000 kila moja ziko kwenye hali nzuri nimekuwa nikizitumia zipo Arusha na vibao pia unapata vya kutosha
 
Piga number 0713 551394 huyu jamaa ni mtengenezaji yuko Tabata Dampo.. Nina wasiwasi na hy ya 120,000.00 Mi nilinunua kwa huyo jamaa 380,000.00

Kaka unayosema ni ya ukweli?kwa sababu pale Mwenge mwisho kama unaenda Lugalo Jeshini kuna jamaa wanatengeneza hizo mashine mimi nlipita hapo mwanzoni mwa mwaka huu hiyo mashine walisema inauzwa 400,000.
Kama upo Dar pitia hapo Mwenge uulize

Hizo Ni Bei za Jamii Forums ila Za Ukweli Mbagala ndio hiyo niliyotaja gharama ni kwenye kuchongesha vibao tu na wala sio hizo mashine
 
Back
Top Bottom