sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,424
,kuu pambanua ratio 1:40 unatumia debe/mfuko wa rambo ama ndoo ili wanaotaka kujaribu wajue wanapima na nini najua engineers wanajua unaongea nini lakini si wote wanaoujua mpwa
natumia ndoo ya lita 10 ila ratio unaweza jaribu kwa kipimo chochote hata kisado au chepe au debe mradi mfano ukisema ratio ya 1:40 basi utatumia kisado kimoja cha sementi kwa visado vi3 vya udongo na mixed soil haitakiwi ilowe kama zege unakuwa mbichi tu maji ya kunyunyizia kuweza kufinyanga tonge kama la ugali likanatana mmmh kwa leo yatosha c u tomoro class!
kwa utamu zaidi google'' safido interlocking brick machine''