Mashine ya Matofali

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
NAHITAJI MASHINE KAMA HII, NTAIPATA WAPI?

xxx3.jpg
 
kwenye hiyo habari uliyotoa picha wamesema machine inapatikana wapi na kwa sh. Ngapi.

"mashine hizo kwa mujibu wa wakala wa serikali wa ubunifu wa vifaa vya ujenzi (nhbra) ambao ni watengenezaji na wasambazaji wa vifaa hivyo, zinagharimu sh450,000 kila moja".

Picha nimeziokota humu humu...Hawa wakala wa serikali wa ubunifu wa vifaa vya ujenzi (nhbra) wanapatikana wapi?
 
Kwenye hiyo habari uliyotoa picha wamesema machine inapatikana wapi na kwa sh. ngapi.

"Mashine hizo kwa mujibu wa Wakala wa Serikali wa Ubunifu wa Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) ambao ni watengenezaji na wasambazaji wa vifaa hivyo, zinagharimu Sh450,000 kila moja".

Safi sana Mkuu, michango hii ndio inatakiwa hapa. Lakini ni vyema Safari-ni-Safari nae akawatembelea na hao wadau wengine ili kujua design ya product zao na bei zao pia kama haitamcheleweshea mambo. Soko huria hili
 
Hawa jamaa wana akili nzuri kweli hawa?
Hiyo mashine ukiitumia kwa mwaka mmoja lazima kiuno kikatike!
The liver/handle is too long (ukiacha swala la kurefusha ili kupunguza power used) na handle inakwenda hadi chini ndo tofali litoke.............weeeee!!!!

Sijaona ubunifu hapo!
"Mashine hizo kwa mujibu wa Wakala wa Serikali wa Ubunifu wa Vifaa vya Ujenzi (NHBRA)
 
Hawa jamaa wana akili nzuri kweli hawa?
Hiyo mashine ukiitumia kwa mwaka mmoja lazima kiuno kikatike!
The liver/handle is too long (ukiacha swala la kurefusha ili kupunguza power used) na handle inakwenda hadi chini ndo tofali litoke.............weeeee!!!!

Sijaona ubunifu hapo!

Good observation. Nadhan ungekuwa kwenye production line yao wangekukoma. Lakini ni teknolojia rahisi ambayo kwa kuanzia si mbaya. Kabla kiuno hakijakatika unabadili machine.
Hapo kwenye red nadhani hilo neno la kiswahili lilitumika kimakosa kwani jamaa wanaitwa National Housing and Building Research Agency (tafsiri mwenyewe)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom