Mashine ya kukamatia wezi from Japan...

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
8,297
16,463
Japan ilitengeneza mashine ya kukamatia wezi na kuipitisha ktk nchi tofauti kwa ajili ya kui test.
Japan baada ya dkk 9 ilikamata wezi 4,711
china baada ya dkk 15 ilikamata wezi 11, 507
Nigeria baada ya dkk 6 ilikamata wezi 141,333
Kenya baada ya dkk 2 ilikamata wezi 55, 312
Tanzania baada ya dkk 5 mashine yenyewe iliibiwa...........
 
Inajidhihilisha namna watanzania tulivyo wezi hata vyombo vya dola navyo ni wezi
pale ARUSHA pesa za wizi zimeyeyukia mikononi mwa polisi
 
Back
Top Bottom