Mashine ya kukamata wezi

SIMBA DUME

Member
Jul 6, 2008
30
0
Marekani wamegundua mashine ya kukamata wezi
Ndani ya dakika 30[nusu saa]ilinasa wezi 500 huko USA
Huko kwa mzee[MADIBA] Mandela south Afrika ndani ya dakika 20 ilinasa wezi laki 2[200,000]
Na huko kwa majirani zetu Kenya katika dakika 10 ilinasa wezi laki 3[300,000]
TANZANIA NDANI YA DAKIKA 5 MASHINE ILIKUWA IMEIBIWA
 
ha!ha!ha! very funny!
 
Back
Top Bottom