Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
Labda tuangalie ni vipi through Corporate Social Reponsibilities tutaweza kuyachagiza makampuni yadhamini hayo mambo yenye kipaumbele kwa wanajamii/taifa kama usafi wa mazingira, ujenzi na matumizi ya vyoo n.k na in a sustainable manner.
Ulianza vizuri last year.......
uku uliko sasa siko.......post ya lasy yr uliandika kitu cha maana ambacho ndio maudhui ya thread hiiMkuu,
Ogopa kushindanisha kile ambacho mtu hakuweka effort kuwanacho/kukipata.Uzuri au muonekano wa sura, siyo kitu huyo mshindi aliweka jitihada binafsi kukipata.Vivyo hivyo hiyo zawadi itakuwa ya kum- support hiyo effortless attribute yake.Akipewa pesa akasome, huenda hiyo siyo priority na hata akijilazimisha, pesa itapotea kirahisi kama ilivyokuja.
Waachieni waendeshe mashindano yao wanavyojua wenyewe kwa lengo wanalojua wenyewe!
Ningekuwa na nafsi y akutoa mawazo yangu kwenye haya mashindano, kigezo kikuu kingekuwa ni brains with beauty and not beauty with brain!