Mashindano ya taifa cup bado ni feki

Mswahela

Member
Feb 16, 2009
87
1
[FONT="[SIZE="4"]Century Gothic"]Baada ya Mkoa wa Lindi mwaka jana kufungwa magoli 11 na Ilala,
mwaka huu wakabuni mkakati wa
kufuta aibu hiyo kwa kuazima na kuwalipa vijana wengi kutoka Dsalaam kwenda kuchezea mkoa huo na
hivyo kutoa picha kwamba kuna improvement ya soccer Lindi. Mkoa wa Singida nao umefanya hivyo chini
ya ufadhili wa Mbunge wao tajiri Mh Dewji ambaye ameazima vijana karibu wote kutoka Dsalaam na
kuwalipa pesa nyingi tu. Kawavisha jezi nyekundu ili wafanane na wekundu wa Msimbazi timu anayoipenda
sana Mheshimiwa huyo na hatimae wakatwaa ubingwa feki na kuwadanganya watu kuwa Singida Mchezo
wa mpira umekua kumbe si lolote. Mchezaji aliyefunga magoli mawili ya mwanzo Kelvin Haule anaishi
Sinza Dsalaam na wengine wengi tu. Haya mambo Feki yataisha lini nchi hii?[/FONT][/SIZE]
 
Back
Top Bottom