Mashindano ya netiboli mapaja na ch*pi nje nje

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,161
1,535
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.

Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?
 
sasa si michezo ndugu wewe kama mawazo yako yapo kwenye makalio utakuwa unawaza mchezo mwingine
 
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.

Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?

wanachezea wapi huo mchezo maana nimechoka kusimuliwa mie
 
kaka kila mchezo una mavazi yake...ushawahi kuangalia "beach volleyball"? au ushawahi kuangalia mashindano ya riadha kwa kina dada ukimuona Veronica Campbell au Sanya Richards walivyojaaliwa vijungu halafu ndio kwanza wamevaa vichupi.
 
Jamaa sio mwanamichezo kabisa! Kuna michezo mingine watu hawavai nguo kabisa...Ungeona hiyo si ungewehuka kabisa?
Huraaaa! Netball...zamani na yale ma skin tight ulikuwa unaboa...
 
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.

Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?

kwa hiyo? wavae baibui!
 
ndiyo raha ya michezo dogo...ukipata nafasi nenda ukaone akina dada 'wakisanua' live...utamu wa kunoga...!
 
Mshindwe na mregee nyoote mnaoshabilkia umalaya in the name of sports. Hakuna excuse ya kumweka mwanamke uchi.

Mkuu wewe si salama kichwani mwako au ni mgeni katika nchi hii maana kwa kumbukumbu zangu since i was 8 to 15 netball ilikuwa ikichezwa na hayo ndio mavazi rasmi. Sasa tukuulize ulitaka wavae mashuka? Umalaya upi uliofanyika?umalaya mnaujua mnanyamaza kimya! Hizi fiesta sijui bongo muvi na zile miss miss hizo ndio zina harufu za umalaya na mapimp wanajulikana kwa wajanja wa mjini. Kama uamini tembelea leaders club kuanzia saa nane mchana uone watu gani wanakuwa pande zile wachore tu.usiwashtue halafu njoo uje utupe data sawa?
 
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.

Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?

Na hapo salma kikwete na mke wa pinda wanayapigia debe kama hawana akili nzuri, endapo ktk wachezaji kungekuwa na watoto wao cjui wangejickiaje? kucheza netball cyo lazima kuvaa vichupi kama vile.
 
Back
Top Bottom