Mashindano ya Miss Totoz?

Ndio maana yake mkuu, na kila kitu kinaanza akilini/mawazoni, kwenye fikra na tafakuri. It takes a spark of imagination! Au ndivyo tulivyo? Laiti ange-transform hii fantasy energy into innovative energy, leo Obama angekuwa anampa joint freedom honor pamoja na Mwanafizikia Stephen Hawkins hapa: http://www.buenosairesherald.com/BreakingNews/View/8946

Commandante:

Kweli nilivuka mipaka. Lakini hii sio abstract ni kitu real. Unamuona mtoto wa miaka 7 anashinda umiss wa wilaya. Anapiga pose la nguvu na analembua kwenye picha vilevile.
 
Kweli kabisa Bw. Mjamaa....hivi tungekuwa na ma Stephen Hawkings kama 100 bongo si ingekuwa Nyu Yoki? Au wewe unaonaje babu?

Mahawkings tunao kibao, tatizo mko huko mnabeba mabox. Wengine ndio hawa wakimaliza kubeba mabox wanaanza kuota ndoto za mchana. Na cha kusikitisha zaidi wengine wako NASA na kwenye vitengo vingine vikali vya sayansi na teknolojia huko ughaibuni. Hebu cheki hiki kichwa chetu huko majuu: http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni/message/4065

PS. Alafu Wajamaa hatuna Bw. (Bwana) na Bi. (Bibi). Sisi ni tunatumia Ndg. (Ndugu). Asante kwa kunielewa Ndugu NN.
 
Commandante:

Kweli nilivuka mipaka. Lakini hii sio abstract ni kitu real. Unamuona mtoto wa miaka 7 anashinda umiss wa wilaya. Anapiga pose la nguvu na analembua kwenye picha vilevile.

Zakumi ndugu yangu, bado unaendelea tu? Mtoto wa miaka 7 hata akirembua rembua kuna attraction gani hapo? Unless uko mgonjwa...lakini mimi sioni attraction yoyote kwa katoto ka miaka 7 Zakumi. Do you need help man?
 
Mahawkings tunao kibao, tatizo mko huko mnabeba mabox. Wengine ndio hawa wakimaliza kubeba mabox wanaanza kuota ndoto za mchana. Na cha kusikitisha zaidi wengine wako NASA na kwenye vitengo vingine vikali vya sayansi na teknolojia huko ughaibuni. Hebu cheki hiki kichwa chetu huko majuu: http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni/message/4065

PS. Alafu Wajamaa hatuna Bw. (Bwana) na Bi. (Bibi). Sisi ni tunatumia Ndg. (Ndugu). Asante kwa kunielewa Ndugu NN.

Asante Ndg. Companero kwa kuniweka sawa kuhusu hilo la Ndg.

Pia hebu cheki hii link uone jinsi watu tulivyo smackdab in the middle of things katika kuleta maendeleo

http://www.adratz.org/hanang

Kuna project leader anaitwa Julius Magembe hapo....Lol
 
Namna hii watoto hatasoma. Hivi badala ya kufikiria madawati na madarasa tunaendekeza upuuzi wa namna hii. Waambiwe hao waandaaji wakome kabisa. Pumbafu.
 
Asante Ndg. Companero kwa kuniweka sawa kuhusu hilo la Ndg.

Pia hebu cheki hii link uone jinsi watu tulivyo smackdab in the middle of things katika kuleta maendeleo

http://www.adratz.org/hanang

Kuna project leader anaitwa Julius Magembe hapo....Lol

Asante kwa tovuti hii, imenikumbusha mbali - nilikuwa kwenye eneo hilo la Hanang mwaka jana katika pita pita zangu za kujifunza Ujamaa Halisi wa Mwafrika. Hao ADRA ndio walikuwa wanajiandaa kuondoka baada ya kumaliza kazi. Sijui kama kutakuwa na uendelevu maana haya mambo ya miradi haya - si unakumbuka TX yalivyowashinda sasa wamerudi kama DFP kujaribu tena. Naamini inabidi turudi kwenye Nguzo 5 za Ujamaa, ndio zitatuokoa na haya mashindano ya ulimbwende. Hawa watoto walitakiwa wawe wanatengeneza madoli na mifagio ya nyasi na chelewa pamoja na vitu vingine vya kuchemsha bongo zao ili wawe Mahawkings wa Kiafrika!
 
Zakumi ndugu yangu, bado unaendelea tu? Mtoto wa miaka 7 hata akirembua rembua kuna attraction gani hapo? Unless uko mgonjwa...lakini mimi sioni attraction yoyote kwa katoto ka miaka 7 Zakumi. Do you need help man?

Kweli hakuna attraction yoyote kwa sisi wazima. Lakini kwa wale wenye ugonjwa wa akili hiyo ni big deal.

Huku mtoni kuna mashindano katika ya mambo ya talent show. Lakini wenzetu wanasehemu nyingi ambazo watoto hao wata-fit. Kuna watakaofanya modeling ya bidhaa, watakao kuwa ma-actor na mambo mengi.

Kwetu sisi corner stones za maisha ya watoto hao ni shule. Na kuna uwezekano mkubwa watoto hawa wanakwenda shule zisizo na madawati na vifaa vingine muhimu.
 
Unajua nimekaa na kufikiria hapa hivi kuna mashindano kama ya spelling bee bongo? Kama hakuna nitaangalia uwezekano wa kuyatambulisha huko angalau watoto ambao wazazi wao wanawajali wapate outlet na wao ya watoto wao kuonyesha vipaji vya akili zao. Sio urembo urembo wakati hata ku spell neno urembo hawawezi.
 
Mahawkings tunao kibao, tatizo mko huko mnabeba mabox. Wengine ndio hawa wakimaliza kubeba mabox wanaanza kuota ndoto za mchana. Na cha kusikitisha zaidi wengine wako NASA na kwenye vitengo vingine vikali vya sayansi na teknolojia huko ughaibuni. Hebu cheki hiki kichwa chetu huko majuu: http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni/message/4065

PS. Alafu Wajamaa hatuna Bw. (Bwana) na Bi. (Bibi). Sisi ni tunatumia Ndg. (Ndugu). Asante kwa kunielewa Ndugu NN.

Companero:

Niwahi kufanya kazi NASA. Sio big deal. Kazi nyingi za vichwa bado zinafanyika mashuleni. Nilichoona mimi ni wenzetu kuwa na uwezo wa kuunganisha resources zao.
 
Asante kwa tovuti hii, imenikumbusha mbali - nilikuwa kwenye eneo hilo la Hanang mwaka jana katika pita pita zangu za kujifunza Ujamaa Halisi wa Mwafrika. Hao ADRA ndio walikuwa wanajiandaa kuondoka baada ya kumaliza kazi. Sijui kama kutakuwa na uendelevu maana haya mambo ya miradi haya - si unakumbuka TX yalivyowashinda sasa wamerudi kama DFP kujaribu tena. Naamini inabidi turudi kwenye Nguzo 5 za Ujamaa, ndio zitatuokoa na haya mashindano ya ulimbwende. Hawa watoto walitakiwa wawe wanatengeneza madoli na mifagio ya nyasi na chelewa pamoja na vitu vingine vya kuchemsha bongo zao ili wawe Mahawkings wa Kiafrika!

Companero:

Ninajitayarisha kurudi kuwa kabaila. Si unajua tena wazawa mnavyopenda Darisalama. Mimi nataka kwenda Arusha, Manyara au Dodoma kufanya kazi za kilimo.
 
Unajua nimekaa na kufikiria hapa hivi kuna mashindano kama ya spelling bee bongo? Kama hakuna nitaangalia uwezekano wa kuyatambulisha huko angalau watoto ambao wazazi wao wanawajali wapate outlet na wao ya watoto wao kuonyesha vipaji vya akili zao. Sio urembo urembo wakati hata ku spell neno urembo hawawezi.

Hapo umenena. Lakini inawezekana Companero kashanyaka idea yako na atataka kukuwahi. Miaka yote anaangalia TV lakini hajawahi kufikiri vitu kama hivyo. Mbunifu wa kuiga.
 
Ouuch!! Hilo dongo la wiki babu. Hehehehehehe...Ndg. Companero upo?
 
Humu tuna mapedophile naona.

Wakati huo huo tukilaani hiki kitendo basi tupige kelele mashule nayo yaboreshwe na wazazi muwe mnafuatilia maendeleo ya watoto shule.
 
Ndugu ZK na NN, kuna tofauti tena kubwa sana kati ya kuiga/kunakili (copying) na kurekebisha/kutohoa (adapting). Nitaongea na wadau wa Mkahawa huu wa Soma kuona uwezekano wa kulirekebisha/kulitohoa wazo hilo na kulifanyia kazi. Asanteni kwa mawazo yenu na ushirikiano wenu.
 
embu fikiria physicology effect ya yule mtoto aliyeshindwa
unajua wale ni watoto haelewi kama yale ni mashindano
mtoto aliyeshindwa lazima ataanza kujiona yeye mbaya na kujiangalia sana kwenye kioooo
 
Humu tuna mapedophile naona.

Wakati huo huo tukilaani hiki kitendo basi tupige kelele mashule nayo yaboreshwe na wazazi muwe mnafuatilia maendeleo ya watoto shule.

Sasa mbona mnaanza ku-profile watu wajemeni. Watoto ni taifa la kesho na sio babu kula.
 
Eti 'miss totoz'.... disgusting!

Yaani wameshindwa hata kujitungia jina la maana la mashindano.
 
Janey Anthony, Fatuma Issa, Zaituni Hassan, Neema Ally, Ester Frenk, Ashura Omary,Mariam Karama,Nasra Ally, Yunis Anthony, Angela Silayu,Happy Peter, na Eda Damian.

Ingawa wazo la Miss Toto linanitia kichefuchefu lakini nikiangalia majina ya washiriki napata afueni kidogo. Inanipa matumaini kuwa wakati sisi tunaojiita wasomi ( najiweka katika hiyo august community ingawa nilikacha umande) tunatoa macho kwa mambo ya kipuuzi yanayotutofautisha lakini huko chini watu wanashirikiana wakitanguliza uutu wao unaowaunganisha!

Amandla............ Mungu aibariki nchi yetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom