mashindano ya miss chitchat week hii ya trh 14-18

heeeee kura yangu kwa shostito cacico labda uniulize kigezo kipi hana lakini sio kipi anacho maana vmeptiliza!! cacico najua taji lako ladhima tueke kamati tupange sherhe ya pongezi kabisaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Heheheh mdomo uliponza kichwa leo najuuuta mim uwiiii ah mi mke wa mtu na sifa za miss yabid awe hajaolewa sasa mi tayari mke wa jg ila si haba weng wape hata mi naona taji hili lamfaa cacico mie ntakuwa kwenye category nyingne.

na bado utajibebaje?
 
My wife kattu! Hatojibeba!
Kwa kisa gani hasa?
Yu'mtu mzima ujue huyu?
Huku kunako hizi mambo alishatokako!
Wenyewe twalea wana tu, nyakati hizi.
Ushan'fahamu?

Mtetez wangu hunie anaishi leo mtetezi wangu yu hai love u mumewangu
 
Ha ha ha ha ha, yaani mie Bi. kidude napambanisha na akina Lisa Jensen???
Lakini naona nimepatamo vikura vya kutosha
 
heeeee kura yangu kwa shostito cacico labda uniulize kigezo kipi hana lakini sio kipi anacho maana vmeptiliza!! cacico najua taji lako ladhima tueke kamati tupange sherhe ya pongezi kabisaaaa!!
nimekuona princess tu, prince yuko wapi??? ili tuweke uzio kabisaaaaaa! mzima weye princess enny???
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha, yaani mie Bi. kidude napambanisha na akina Lisa Jensen???
Lakini naona nimepatamo vikura vya kutosha
asali ya ODM wewe ni hakunaga, siye ngoja tujichipukie tu, si unaona hata baada ya kuolewa sisi wewe bado upo palepale! kama mwamba moto vile! lol! Kongosho asala aleykum,!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom