kajima
JF-Expert Member
- Dec 5, 2009
- 1,289
- 513
Wakubwa siamini kama Wazanzibari wote hawautaki muungano na wala si kweli kama watanganyika wote wanauependa muungano isipokuwa wako kimya tu.Ni vizuri kujadialiana.Kuna watu ambao ndani ya nafsi zao wanaamini zanzibar immemezwa kwenye muungano na inashindwa kufanya maamuzi yake ya kisera kama kuwa karibu na marafiki inaodhani wanaweza kuwasaidia.Vile vile Tanzania bara tumekuwa wagumu kuelewa kwamba Zanzibar ni taifa la kiislamu kwa hiyo liachie huru kudumisha utamaduni wake na kujiunga na jumuia za kiislamu.Kuwawekea kauzibe katika masuala ya dini yao ndio kumeleta choko choko zote hizi.
Tujadilianeni kwa uwazi na kuheshimu ustaarabu wa kila upande.
Huamini vipi bila kura ya maoni???!!!